Kumbee nao ni machawa😁😁Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Emmanuel Nchimbi, akizungumza na Wanahabari leo tarehe 11 Agosti 2025 katika ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba amesema wamefanya Scanning na kugundua baadhi ya Waandishi wa Habari kama Robo Tatu ni WanaCCM.
Soma, Pia
Nmapongeza sana kwa kuwa mkweli. Kwani si ndio akina Kikeke , Balile n.k. !..sasa hapo Dr.Nchimbi si anaviondolea credibility / kuaminika vyombo vya habari.
Kweli kabisa katibu wangu. Kwa sasa kila mtu anajitahidi kujiposition kwenye CCM kuona kama anaweza akaonekana na Wakubwa, akalamba Uteuzi.Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Emmanuel Nchimbi, akizungumza na Wanahabari leo tarehe 11 Agosti 2025 katika ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba amesema wamefanya Scanning na kugundua baadhi ya Waandishi wa Habari kama Robo Tatu ni WanaCCM.
Soma, Pia
😂😂😂😂Lei ndio NIme amini nchimbi alinunua degree
Hata police piaKatibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Emmanuel Nchimbi, akizungumza na Wanahabari leo tarehe 11 Agosti 2025 katika ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba amesema wamefanya Scanning na kugundua baadhi ya Waandishi wa Habari kama Robo Tatu ni WanaCCM.
Soma, Pia
Huo ndo ukweli amesahau kusema pia kuwa wanashindana kuipamba serikali ili kushindania teuziKatibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Emmanuel Nchimbi, akizungumza na Wanahabari leo tarehe 11 Agosti 2025 katika ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba amesema wamefanya Scanning na kugundua baadhi ya Waandishi wa Habari kama Robo Tatu ni WanaCCM.
Soma, Pia
Jamaa amepuyanga sana, sijajua mantiki na logiki yake ila ametokota pakubwa...sasa hapo Dr.Nchimbi si anaviondolea credibility / kuaminika vyombo vya habari.
..sasa hapo Dr.Nchimbi si anaviondolea credibility / kuaminika vyombo vya habari.
Ni wote hata sio robo3Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Emmanuel Nchimbi, akizungumza na Wanahabari leo tarehe 11 Agosti 2025 katika ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba amesema wamefanya Scanning na kugundua baadhi ya Waandishi wa Habari kama Robo Tatu ni WanaCCM.
Soma, Pia
Anaonyesha kwa matendo yakeNdiyo mwenyekiti wa tawi la CCM kitengo cha mawasiliano na habari
Kwa hakika alilolifanya Nchimbi ama kwa makusudi au kwa kutojua ni kuwaondolea kabisa credibility vyombo vyetu vya habari na waandishi wetu uchwara...sasa hapo Dr.Nchimbi si anaviondolea credibility / kuaminika vyombo vya habari.
Bora kasema yeye huo ukweli, ndo maana wale ambao hawakubaliani na uchawa wanapotezwaKatibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Emmanuel Nchimbi, akizungumza na Wanahabari leo tarehe 11 Agosti 2025 katika ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba amesema wamefanya Scanning na kugundua baadhi ya Waandishi wa Habari kama Robo Tatu ni WanaCCM.
Soma, Pia