GE2025 Nchimbi: Tume-scan, tumegundua robo tatu ya Waandishi wa Habari ni wana CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Emmanuel Nchimbi, akizungumza na Wanahabari leo tarehe 11 Agosti 2025 katika ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba amesema wamefanya Scanning na kugundua baadhi ya Waandishi wa Habari kama Robo Tatu ni WanaCCM.

Soma, Pia

Kuna wale wakimhoji Polepole, Zungu na mwenziwe na yule aliyeingia mitini. Ama kweli wahuni si watu wazuri!
 
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Emmanuel Nchimbi, akizungumza na Wanahabari leo tarehe 11 Agosti 2025 katika ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba amesema wamefanya Scanning na kugundua baadhi ya Waandishi wa Habari kama Robo Tatu ni WanaCCM.

Soma, Pia
ASiishie Tu hapo Amalizie Kwa tume ya uchaguzi na polisi
 
Back
Top Bottom