Ndalichako atoa hotuba iliyojaa pongezi na shukrani Mei Mosi 2022

Ndalichako atoa hotuba iliyojaa pongezi na shukrani Mei Mosi 2022

bloggerboy

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2017
Posts
568
Reaction score
1,217
Yani kila wakati najiuliza sana, Hawa maprof sijui akili huwa wanaziacha wapi, leo Prof katoa Pongezi na shukrani Hotuba nzima

Mpaka nakaa najiuliza sana, hivi kazi ya Prof Wizara ya kazi ni Nini hasa?

Kumsifia Rais au kunisaidia Rais?

Ukitazama Hotuba aliyotoa CDR MTAKA, utagundua utofauti uliopo.

It's shamefully
 
Cha maana nyogeza atake asitake[emoji14][emoji14][emoji14]
 
Mtu ameamua kutumia kichwa chake kufugia nywele na sio kufikiria.
 
Hao ndio Maprofesa magufuli alio waokota Majalalani kwa mujibu wa propesa macho kibudu.
Tundu Antipas Lissu alimpa makavu mtu wa chato kuwa hizo kazi anazo ringishia kuwapa kwa kuhongana vyeo watu akawape hao hao anao waokota Majalalani.
Tundu Lissu is the greatest.
Tundu Lisu The genius, The Great
 
Waziri wa Kazi ni Mwakilishi wa Serikali sio wa Wafanyakazi na leo msemaji Mkuu upande wa Serikali ni Mh.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

msemaji wa Watumishi ni Mwenyekiti wa Vyama vya wafanyakazi na kama mnataka mtu wa kusema shida na madai yenu basi ni huyo

ki Protocal kazi ya Waziri wa kazi leo ni ndogo sana na ndio hiyo kaifanya
 
Back
Top Bottom