Nimezipata Mtani. Kuna habari gani kwani hapa?Mfikishie na salam zangu pia
Kama mie. ππππNasubiri kuwaona watakavyopendeza.
Matokeo anayopata Yanga msimu huu mimi sijali kwa kikosi alichonacho na hali yenyewe ya uchumi. Mimi ninachojali Jumamosi kuna mtu anaenda kunyanyaswa kjinsia.
Yaani. Hapa matumaini kwetu yashafifia Mtani.
Wacha tugange ya FA sasa huenda tukafuta machungu.
Kuna kipindi yalikuwepo Mtani. Ila wacha tugange yajayo sasa.Kwani Mtani uliwahi kuwa na matumaini yoyote?
Au ulikuwa mkwara tu.
Kuna kipindi yalikuwepo Mtani. Ila wacha tugange yajayo sasa.
Ama kweli kipato huleta majivuno Mtani. Haya bana.Kungekuwa na uwezekano tungewapunguzia baadhi ya viporo vyetu.
Ila sasa ndo haiwezekani.
Ama kweli kipato huleta majivuno Mtani. Haya bana.
Hahahaaa. Ila hivyo viporo vilikuwa sehemu ya kutengenezewa mazingira ya nyie kuchukua TPL hakuna kingine hapo Mtani.Kweli Mtani, maviporo mengi wakati tunahitaji points chache tu.
Na uzuri tumeyatunza kwenye mifreezer hayachachi, kwa nini tusimpunguzie Mtani?
Hahahaaa. Ila hivyo viporo vilikuwa sehemu ya kutengenezewa mazingira ya nyie kuchukua TPL hakuna kingine hapo Mtani.
Hata kama Mtani. Ila wakati wenu huu mnastahili kuwekewa mbeleko za kila aina.Mtani sisi tulikuwa na tunaendelea kuiwakilisha East Africa kwenye mashindano ya Club Bingwa, tuna jukumu la kuitafutia mapato TFF ili hata mkipata kombe la FA mpewe zawadi.
Na hapo ndo wanapobugi.Tupo busy tunatafuta tickets za Tp MazembeView attachment 1062854
Huko FA kuna wazee wa kamwene wanamisubiri kwa hamu kabisa sijui mmejipangaje kukwepa aibu.Yaani. Hapa matumaini kwetu yashafifia Mtani.
Wacha tugange ya FA sasa huenda tukafuta machungu.
I think this time hatutakuwa kama ile mechi iliyopita. We subiri uone Mtani.Huko FA kuna wazee wa kamwene wanamisubiri kwa hamu kabisa sijui mmejipangaje kukwepa aibu.
Hata kama Mtani. Ila wakati wenu huu mnastahili kuwekewa mbeleko za kila aina.
π±ππππ Ama kweli Yanga chuma chakavu mithili ya rupia ya Mjerumani.Nanunua yanga mbovu chuma chakavu pamoja na dola
Oooh. Haya Mtani wacha niwe mdogo leo.Sisi tunajibeba kwa mafanikio yetu.
Ila nyie ndiyo mnaona kama tunabebwa.
Mkitoboa kwa Lipuli,yupo Azam atawasubiri fainali.I think this time hatutakuwa kama ile mechi iliyopita. We subiri uone Mtani.
Oooh. Haya Mtani wacha niwe mdogo leo.
Niaje lakini?