NDANDA VS YANGA

NDANDA VS YANGA

Una hesabu michezo lakini?
Baadae msije mkalalamika kuwa simba kapewa michezo mingi kuliko nyie. Wakati nyie wenyewe ndo mlikuwa mpo bize na simba kuliko mechi zenu.
Matokeo anayopata Yanga msimu huu mimi sijali kwa kikosi alichonacho na hali yenyewe ya uchumi. Mimi ninachojali Jumamosi kuna mtu anaenda kunyanyaswa kjinsia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli Mtani, maviporo mengi wakati tunahitaji points chache tu.

Na uzuri tumeyatunza kwenye mifreezer hayachachi, kwa nini tusimpunguzie Mtani?
Hahahaaa. Ila hivyo viporo vilikuwa sehemu ya kutengenezewa mazingira ya nyie kuchukua TPL hakuna kingine hapo Mtani.
 
Hahahaaa. Ila hivyo viporo vilikuwa sehemu ya kutengenezewa mazingira ya nyie kuchukua TPL hakuna kingine hapo Mtani.

Mtani sisi tulikuwa na tunaendelea kuiwakilisha East Africa kwenye mashindano ya Club Bingwa, tuna jukumu la kuitafutia mapato TFF ili hata mkipata kombe la FA mpewe zawadi.
 
Mtani sisi tulikuwa na tunaendelea kuiwakilisha East Africa kwenye mashindano ya Club Bingwa, tuna jukumu la kuitafutia mapato TFF ili hata mkipata kombe la FA mpewe zawadi.
Hata kama Mtani. Ila wakati wenu huu mnastahili kuwekewa mbeleko za kila aina.
 
Back
Top Bottom