Ndani ya CCM hakuna aliye salama, mnajidanganya na kujikomba/ uchawa. Kuna siku utafikiwa

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
As long as CCM mmekataa neno HAKI to be in your vocabulary, kila mmoja atafikiwa. It is a matter of time. Unadhani Nchimbi alifikiri kuna siku atakuwa " mfungwa" wa CCM?

Kila mmojja atafikiwa, hata chawa mkubwa Katambi atafikiwa
 
Wote watafikiwa. Ni juzi tu sababu ya waandamani kuuwawa nchini madagaska, raisi wa seneti madagaska ameenda jela na anatakiwa kufanya kazi ngumu miaka 10. Kwahiyo tuendelee kusubiria tu ni swala la muda
 
Sasa km Nchimbi, Pole Pole, waliofika vyeo vya juu ktk nchi hii, sembuse hawa chawa wasio na lolote? Watafikiwa.
Wajiulize Jenister CCM kindaki ndaki Leo yuko wapi? Lukuvi na ubabe wake wote, Leo yuko wapii? Achilia Mwendazake alikua kwenye kiti cha Enzi, kilichotokea???
Waache wajisahau, CCM ina wenyewe na wenyewe wapo, sio hao Chawa.
 
Da Pipi nishushe
 
Wa Madagascar kaua 22 tu kachukua nyundo 10 huyu aliyeua Watanganyika zaidi ya 10,000 anademka ndani ya Ikulu kwa kodi za Watanganyika.
 
"Ukiishi kwa upanga, utakufa kwa upanga" ni methali ya busara inayomaanisha kuwa tabia au njia unazotumia maishani (hasa kama ni za vurugu, ubaya, au hatari) ndizo zitakazokuja kukuangamiza mwishoni.Methali hii inatufundisha umuhimu wa kuishi kwa amani na kufanya maamuzi sahihi, kwani matendo yetu yana matokeo.
 
As long as CCM mmekataa neno HAKI to be in your vocabulary, kila mmoja atafikiwa. It is a matter of time. Unadhani Nchimbi alifikiri kuna siku atakuwa " mfungwa" wa CCM?

Kila mmojja atafikiwa, hata chawa mkubwa Katambi atafikiwa
acha porojo na upotoshaji nonsense jukwaani gentleman.

serikali sikivu ya CCM inawajibika kumfikia kila mTanzania aliko katika kumsogezea maendeleo ya kiuchumi, kisiasa na kijamii karibu zaidi na anapoishi,

Na kwahivyo,
ulipo wewe CCM pia ipo bega kwa bega bampa to bampa na wewe 🐒
 
Siyo ndani ya Ccm tu, ni raia wote kwa ujumla wetu Tz tupo mateka.

Ndiyo maana tunasema, hakuna
kipindi kingine muhimu kama hiki wananchi wote tuungane pamoja na kuondoa tofauti zetu za u-chama, u-dini, u-kabila nk nk, ili tuongee lugha moja itayosomana.

Hilo genge la wauaji na machawa wao hawawezi kuizidi nguvu ya umma tukiamua kuruka kwa uelekeo mmoja.
 
acha porojo na upotoshaji nonsense jukwaani gentleman.

serikali sikivu ya CCM inawajibika kumfikia kila mTanzania aliko katika kumsogezea maendeleo ya kiuchumi, kisiasa na kijamii karibu zaidi na anapoishi,

Na kwahivyo,
ulipo wewe CCM pia ipo bega kwa bega bampa to bampa na wewe 🐒
Hakuna ubaguzi,Bega kwa began bampa to bampa hadi na Nchimbi.
 
As long as CCM mmekataa neno HAKI to be in your vocabulary, kila mmoja atafikiwa. It is a matter of time. Unadhani Nchimbi alifikiri kuna siku atakuwa " mfungwa" wa CCM?

Kila mmojja atafikiwa, hata chawa mkubwa Katambi atafikiwa
Ipyana malelela
JPM
Lowasa
Kumbe
Juma
Na wooote waliotangulia
 
Sasa km Nchimbi, Pole Pole, waliofika vyeo vya juu ktk nchi hii, sembuse hawa chawa wasio na lolote? Watafikiwa.
Wajiulize Jenister CCM kindaki ndaki Leo yuko wapi? Lukuvi na ubabe wake wote, Leo yuko wapii? Achilia Mwendazake alikua kwenye kiti cha Enzi, kilichotokea???
Waache wajisahau, CCM ina wenyewe na wenyewe wapo, sio hao Chawa.
Hao wenyewe na wao watafikiwa tu na wenye Inchi yao MUDA NDIO MWALIMU MZURI
 
As long as CCM mmekataa neno HAKI to be in your vocabulary, kila mmoja atafikiwa. It is a matter of time. Unadhani Nchimbi alifikiri kuna siku atakuwa " mfungwa" wa CCM?

Kila mmojja atafikiwa, hata chawa mkubwa Katambi atafikiwa
inawezekana isiwapendeze wengi kusikia ila kwa upepo ninaouona hata mama samia akifanikiwa kutoka madarakani bila changamoto, akiwa mstaafu siku moja watampitia.
 
As long as CCM mmekataa neno HAKI to be in your vocabulary, kila mmoja atafikiwa. It is a matter of time. Unadhani Nchimbi alifikiri kuna siku atakuwa " mfungwa" wa CCM?

Kila mmojja atafikiwa, hata chawa mkubwa Katambi atafikiwa
Mafwele mwenyewe inadaiwa alifirwa.
 
wajibu wa CCM ni kuwatumikia wananchi kwa karibu zaidi kama ambavyo waliichagua CCM kwa kishindo kikuu kwenye uchaguzi mkuu 2025🐒
Yes, kama Daktari Samia na Daktari Nchimbi walivyochaguliwa kwa kishindo. Au sio gentleman?
 
Wanalifahamu hilo vizuri tu, wameshaishi vya kutosha kulishuhudia hili.

Wakati wa magufuli tuliwaonya team Magufuli kuwa hii culture mpya ya mwenendo wa serikali itakata pande mbili kama msumeno, hawaamini macho yao kwa jinsi walivyopoteana.
 
Wa Madagascar kaua 22 tu kachukua nyundo 10 huyu aliyeua Watanganyika zaidi ya 10,000 anademka ndani ya Ikulu kwa kodi za Watanganyika.
Mbona kuna inchi zingine kama wanawaza smart sana 22 tu inatosha kuonesha kuwa kunamakosa kafanya du hatari sana huko kwa wenzetu kwa akina ngosha wana mani bure kabisaaa dozen za watu
 
Back
Top Bottom