Ndani ya CCM hakuna aliye salama, mnajidanganya na kujikomba/ uchawa. Kuna siku utafikiwa

Ndani ya CCM hakuna aliye salama, mnajidanganya na kujikomba/ uchawa. Kuna siku utafikiwa

As long as CCM mmekataa neno HAKI to be in your vocabulary, kila mmoja atafikiwa. It is a matter of time. Unadhani Nchimbi alifikiri kuna siku atakuwa " mfungwa" wa CCM?

Kila mmojja atafikiwa, hata chawa mkubwa Katambi atafikiwa
Mbona hilo limeshafahamika.CCM wote ni the coming jailbirds/cell mates wachangamfu!
 
Siylo ndani ya Ccm tu, ni raia wote kwa ujumla wetu Tz tupo mateka.

Ndiyo maana tunasema, hakuna
kipindi kingine muhimu kama hiki wananchi wote tuungane pamoja na kuondoa tofauti zetu za u-chama, u-dini, u-kabila nk nk ili tuongee lugha moja itayosomana.

Hilo genge la wauaji na machawa wao hawawezi kuizidi nguvu ya umma tukiamua kuruka kwa uelekeo mmoja.
Umesema point KUBWA sana. Bila kuungana kujitoa mhanga , tumekwisha
 
Ipyana malelela
JPM
Lowasa
Kumbe
Juma
Na wooote waliotangulia
Nikiunga doti vizuri Kama kumbukumbu zangu zipo sawa ilisemekana kua EN ndio alimtanguliza Ipyana wakigombea kitu Cha mwenyekiti wa UVCM taifa.

Kama habari zile zilikua ni za kweli basi Karma imeshafanya yake
 
Wote watafikiwa. Ni juzi tu sababu ya waandamani kuuwawa nchini madagaska, raisi wa seneti madagaska ameenda jela na anatakiwa kufanya kazi ngumu miaka 10. Kwahiyo tuendelee kusubiria tu ni swala la muda
Jamani ni kweli hiyo?
 
As long as CCM mmekataa neno HAKI to be in your vocabulary, kila mmoja atafikiwa. It is a matter of time. Unadhani Nchimbi alifikiri kuna siku atakuwa " mfungwa" wa CCM?

Kila mmojja atafikiwa, hata chawa mkubwa Katambi atafikiwa
mngoni tarehe kama hizi mwezi kama huu mwaka jana alikuwa ndiye Mtendaji Mkuu wa chama. leo sasa ... kweli shetani hana rafiki

wanamkanaaaa
 
Jamani ni kweli hiyo?
Nimeifuatilia hiyo mkuu ukilinganisha na kwetu ni mbingu na ardhi. Maana jamaa kahukumiwa na mahakama za ndani! Sasa kwa hapa kwetu kuna mahakama ambayo inaweza kumhukumu hata mwenyekiti wa mtaa ambae ana kadi ya ccm?
 
Back
Top Bottom