Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Mbona hilo limeshafahamika.CCM wote ni the coming jailbirds/cell mates wachangamfu!As long as CCM mmekataa neno HAKI to be in your vocabulary, kila mmoja atafikiwa. It is a matter of time. Unadhani Nchimbi alifikiri kuna siku atakuwa " mfungwa" wa CCM?
Kila mmojja atafikiwa, hata chawa mkubwa Katambi atafikiwa
Umesema point KUBWA sana. Bila kuungana kujitoa mhanga , tumekwishaSiylo ndani ya Ccm tu, ni raia wote kwa ujumla wetu Tz tupo mateka.
Ndiyo maana tunasema, hakuna
kipindi kingine muhimu kama hiki wananchi wote tuungane pamoja na kuondoa tofauti zetu za u-chama, u-dini, u-kabila nk nk ili tuongee lugha moja itayosomana.
Hilo genge la wauaji na machawa wao hawawezi kuizidi nguvu ya umma tukiamua kuruka kwa uelekeo mmoja.
Nikiunga doti vizuri Kama kumbukumbu zangu zipo sawa ilisemekana kua EN ndio alimtanguliza Ipyana wakigombea kitu Cha mwenyekiti wa UVCM taifa.Ipyana malelela
JPM
Lowasa
Kumbe
Juma
Na wooote waliotangulia
Jamani ni kweli hiyo?Wote watafikiwa. Ni juzi tu sababu ya waandamani kuuwawa nchini madagaska, raisi wa seneti madagaska ameenda jela na anatakiwa kufanya kazi ngumu miaka 10. Kwahiyo tuendelee kusubiria tu ni swala la muda
Hao wenyewe na wao watafikiwa tu na wenye Inchi yao MUDA NDIO MWALIMU MZURI
Wanalifahamu hilo vizuri tu, wameshaishi vya kutosha kulishuhudia hili.
Wakati wa magufuli tuliwaonya team Magufuli kuwa hii culture mpya ya mwenendo wa serikali itakata pande mbili kama msumeno, hawaamini macho yao kwa jinsi walivyopoteana.
mngoni tarehe kama hizi mwezi kama huu mwaka jana alikuwa ndiye Mtendaji Mkuu wa chama. leo sasa ... kweli shetani hana rafikiAs long as CCM mmekataa neno HAKI to be in your vocabulary, kila mmoja atafikiwa. It is a matter of time. Unadhani Nchimbi alifikiri kuna siku atakuwa " mfungwa" wa CCM?
Kila mmojja atafikiwa, hata chawa mkubwa Katambi atafikiwa
Nimeifuatilia hiyo mkuu ukilinganisha na kwetu ni mbingu na ardhi. Maana jamaa kahukumiwa na mahakama za ndani! Sasa kwa hapa kwetu kuna mahakama ambayo inaweza kumhukumu hata mwenyekiti wa mtaa ambae ana kadi ya ccm?Jamani ni kweli hiyo?
Ndio nenda ka googleJamani ni kweli hiyo?