Haha mbona mnanishonganisha na mshana jamaniPima pengine sio kwa Mshana Jr mkuu, Pemba uchawi hakuna ila majini, mshana majini kwake ni mifugo sasa sijui utatokaje.
Jana, tarehe 26/8? We jamaa unauhakika hujachukuliwa msukule na MshanaJr?habar zenu wakuu , tupoe na mihangaiko ya hapa na pale
Moja kwa moja kwenye mada husika
Tangia nijiunge na jf kumekua na huyu member aitwae mshana jr yaan mada zake nying ni kuhusu yale mambo ya kiswahili yaani mambo ya tunguli , ramli , kutafsiri ndoto nk
Kwa kweli binafsi si mpenzi wa mada zake huyu jamaa ikizingatiwa kua si mambo ya kuyatilia maanani sna
Basi siku ya jana tarehe 26/8 wakati narudi kwenye mihangaiko yangu ndani ya usafiri wa umma aiseeee !!
Sitaki kuamini kama yule jamaa si mshana jr ,kwa jinsi gari nzima yaan ipo kimya jamaa anachambua mambo ya ramli kiunaga ubaga hadi nikapigwa na butwaaa yaani elimu kama hizi watu wapata wapi au wamerithishwa na mababu ?
Jamaa ni libonge hilo , limevalia ki brother man ila vitu anavyochambua unaweza sema katoka kuzimu
Kumbe mshana jr ni bonge vile , kwa jins jamaa alivyokua anachambua mambo ya ramli na confidence hapo hapo nikasema yeess leo nimepanda gari moja na mshana jf
Mshana jr tafadhali sna mkuu hemu njoo utoe uthibitisho huku kua ulikua ni wewe halisi au kama unawanafunzi wako hapa dar city centre pia tujue
Ahsanteni .....
[emoji102] [emoji102] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja nimalize kucheka loh...habar zenu wakuu , tupoe na mihangaiko ya hapa na pale
Moja kwa moja kwenye mada husika
Tangia nijiunge na jf kumekua na huyu member aitwae mshana jr yaan mada zake nying ni kuhusu yale mambo ya kiswahili yaani mambo ya tunguli , ramli , kutafsiri ndoto nk
Kwa kweli binafsi si mpenzi wa mada zake huyu jamaa ikizingatiwa kua si mambo ya kuyatilia maanani sna
Basi siku ya jana tarehe 26/8 wakati narudi kwenye mihangaiko yangu ndani ya usafiri wa umma aiseeee !!
Sitaki kuamini kama yule jamaa si mshana jr ,kwa jinsi gari nzima yaan ipo kimya jamaa anachambua mambo ya ramli kiunaga ubaga hadi nikapigwa na butwaaa yaani elimu kama hizi watu wapata wapi au wamerithishwa na mababu ?
Jamaa ni libonge hilo , limevalia ki brother man ila vitu anavyochambua unaweza sema katoka kuzimu
Kumbe mshana jr ni bonge vile , kwa jins jamaa alivyokua anachambua mambo ya ramli na confidence hapo hapo nikasema yeess leo nimepanda gari moja na mshana jf
Mshana jr tafadhali sna mkuu hemu njoo utoe uthibitisho huku kua ulikua ni wewe halisi au kama unawanafunzi wako hapa dar city centre pia tujue
Ahsanteni .....
Nipo nimebakia tu kucheka
[emoji102] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mshana jr ni invinsible hawezi kuonekana kizembe hivyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mshana Jr anawezekana akawa ni Mchawi kweli ...maana anaonekana ni Noma sana ...ukimchunguza vzr anatisha mshana.
Lakini sichapi[emoji23]Mshana jr ni kiboko aisee.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] shikamoo DadaHuyo uliyemwona alikuwa na rangi gani na ana urefu gani? Macho yake yakoje? Sauti yake ikoje? Ukinijibu nitajua umemwona kweli mshana jr. Sijawahi kutana naye ila kuna viashiria naweza hisi.
[emoji15] [emoji102] [emoji15] [emoji102] [emoji102] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama ni yeye na unamfunua humu jiandae kutaga mayai, hanaga mzaha na mtu, humu ndani yeye ni balozi.
[emoji102] [emoji15] [emoji102] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100]kwanza Mshana ni Popobawa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jana, tarehe 26/8? We jamaa unauhakika hujachukuliwa msukule na MshanaJr?
kwani yeye ni mlima hautembei?Mshana jr anaishi sumbawanga sasa iweje ukutane nae kwenye daladala za dsm ?
Ufafanuzihabar zenu wakuu , tupoe na mihangaiko ya hapa na pale
Moja kwa moja kwenye mada husika
Tangia nijiunge na jf kumekua na huyu member aitwae mshana jr yaan mada zake nying ni kuhusu yale mambo ya kiswahili yaani mambo ya tunguli , ramli , kutafsiri ndoto nk
Kwa kweli binafsi si mpenzi wa mada zake huyu jamaa ikizingatiwa kua si mambo ya kuyatilia maanani sna
Basi siku ya jana tarehe 26/8 wakati narudi kwenye mihangaiko yangu ndani ya usafiri wa umma aiseeee !!
Sitaki kuamini kama yule jamaa si mshana jr ,kwa jinsi gari nzima yaan ipo kimya jamaa anachambua mambo ya ramli kiunaga ubaga hadi nikapigwa na butwaaa yaani elimu kama hizi watu wapata wapi au wamerithishwa na mababu ?
Jamaa ni libonge hilo , limevalia ki brother man ila vitu anavyochambua unaweza sema katoka kuzimu
Kumbe mshana jr ni bonge vile , kwa jins jamaa alivyokua anachambua mambo ya ramli na confidence hapo hapo nikasema yeess leo nimepanda gari moja na mshana jf
Mshana jr tafadhali sna mkuu hemu njoo utoe uthibitisho huku kua ulikua ni wewe halisi au kama unawanafunzi wako hapa dar city centre pia tujue
Ahsanteni .....
Mshana kuna member humu alisema kuwa una kilinge mtoni mtongani na wateja wako wakubwa ni kina dada wa mjiniUfafanuzi
Huyo jamaa si mimi japo pia nilishawahi kufananishwa naye zaidi ya mara moja nje ya Jamiiforums
Mimi sio kibonge nina kilo 120 tu... Wajihi wangu ni cheusi tii...
Sehemu ambazo nishadaiwa kuonekana ni Mbeya, Kigoma Bukoba Mwanza kahama Arusha na Sumbawanga
[emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji144] [emoji144] Jamani sasa mimi niko wangapi? Nilishawahi kumsaidia tu mtu mmoja huko tena ilikuwa home kwa jamaa yangu.. Mara moja tuuMshana kuna member humu alisema kuwa una kilinge mtoni mtongani na wateja wako wakubwa ni kina dada wa mjini
Mimi ni mtiifu