Ndani ya Daladala!......

Sie wafanya biashara za Daladala huu uzi unatufaa,,,
Natumai kufanya maboresho kulingana na nitakayo weza kumpatia assistant
 
Nunua gari la kwako mkuu.
 
🙂🙂
huu uzi utadumu kama ule wa usiku wa manane
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] na mvua hizi we acha tu
 
Sio mm kweliii??
 
Sio wewe [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Yule alikua muoga muoga kweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...mimi huwa niko huru nikikaa sitiii ya nyuma kabisa dirishaniii ndo nayafukua majukwaaa hadiii rahaa...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...mimi huwa niko huru nikikaa sitiii ya nyuma kabisa dirishaniii ndo nayafukua majukwaaa hadiii rahaa...
Kama hapa nimekaa nimejiachia niko peke angu kwenye siti
 
Reactions: Lee
ooh kumbe umejiachia kwenye daladala, akili za mvua bana [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Muone
 
Kuna watu wananuka midomo kama nguru halafu wanapenda kuongea kwa nguvu,tena kama ni simu ataongea nayo mwanzo wa safari hadi mwisho...kama huna pumzi ya kutosha unaweza zirai kwa muda.
 
Mi wananikera wanaomuongelesha dereva,yani nahisigi kama atakosea njia.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…