DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
SafiNtazidi kuwa makini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SafiNtazidi kuwa makini
Siwez kumjibu mtu hivoDawa ya mtu anayekikanyaga usimwambie toa mguu wako taratibu alafu kanyaga juu yake akiongea mkazie macho mwambie kwani Ww ulikanyaga jiwe?
Umenicheka had nimeona aibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nunua gari la kwako mkuu.Aisee! Ndani ya daladala kuna kero jamani mtu unaweza kuwa upo kimya unawaza mambo yako kichwani,mara konda au abiria mwenzako akalianzisha utajuta kupanda daladala hilo mbaya zaidi kushuka huwezi maana kama hujachelewa kazini basi nyumbani kwako.Huu ni uzi maalum wa kushare kero mbalimbali ndani ya daladala na kushirikiana jinsi gani ya kuzitatua....Mnaowahi kukaa siti za dirishani kwenye daladala mnakera sana yaani mnafunga vioo wakati gari limejaa hata pa kuweka pua hakuna tupumuliane kwenye makwapa au?
Haya ndio majibu ya abiria wa daladala....Nunua gari la kwako mkuu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haya ndio majibu ya abiria wa daladala....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] na mvua hizi we acha tuAisee! Ndani ya daladala kuna kero jamani mtu unaweza kuwa upo kimya unawaza mambo yako kichwani,mara konda au abiria mwenzako akalianzisha utajuta kupanda daladala hilo mbaya zaidi kushuka huwezi maana kama hujachelewa kazini basi nyumbani kwako.Huu ni uzi maalum wa kushare kero mbalimbali ndani ya daladala na kushirikiana jinsi gani ya kuzitatua....Mnaowahi kukaa siti za dirishani kwenye daladala mnakera sana yaani mnafunga vioo wakati gari limejaa hata pa kuweka pua hakuna tupumuliane kwenye makwapa au?
Sio mm kweliii??Hapo kwenye kuchungulia simu. Huwa naweka mwanga wa mwisho kabisa. Sasa nikiona mtu sielewi huwa najiachia zangu kuchat humu. Siku nimekaa na mtu nikaona anatumia fb nikasema hawez kuwa anaijua JF wacha nijimwaye. Kushtuka si namkuta na yeye yuko JF. Nilitahayari sasa sijui aliona ID yangu akanikaushia.
Sio wewe [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Yule alikua muoga muoga kweliSio mm kweliii??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...mimi huwa niko huru nikikaa sitiii ya nyuma kabisa dirishaniii ndo nayafukua majukwaaa hadiii rahaa...Sio wewe [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Yule alikua muoga muoga kweli
Kama hapa nimekaa nimejiachia niko peke angu kwenye siti[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...mimi huwa niko huru nikikaa sitiii ya nyuma kabisa dirishaniii ndo nayafukua majukwaaa hadiii rahaa...
ooh kumbe umejiachia kwenye daladala, akili za mvua bana [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kama hapa nimekaa nimejiachia niko peke angu kwenye siti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Muoneooh kumbe umejiachia kwenye daladala, akili za mvua bana [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha au wakuambie kama ungekua na haraka ungekwenda tangu jana unakoenda daladala zina vituko sana nakumbuka siku hiyo alipanda mlevi, sasa tulikua tunaelekea home hapo bado tukiwa mbali sana kufika home, vituo kama vinne mbele walokua wanaingia wadada tu na ndani ya daladala alikua yeye dereva na konda ndio wanaume tulipofika kituo cha mbele tena akaingia msada tena yule mlevinakapaza saut dereva hii gar ni ya wanawake tu?? Hakuna aliemjibu tulipofika stand akaingia mkaka kwa zile pombe akaropoka tena hee dereva nishushe hili gar la wanawake mnanipeleka wapi, yan mwanaume peke yangu tu humu ndan dereva akamjib kwa hiyo me pia mwanamke akasema gari zima wawake tunaenda wapi nilicheka sana that day