Ndani ya Daladala!......

Ndani ya Daladala!......

Sie wafanya biashara za Daladala huu uzi unatufaa,,,
Natumai kufanya maboresho kulingana na nitakayo weza kumpatia assistant
 
Aisee! Ndani ya daladala kuna kero jamani mtu unaweza kuwa upo kimya unawaza mambo yako kichwani,mara konda au abiria mwenzako akalianzisha utajuta kupanda daladala hilo mbaya zaidi kushuka huwezi maana kama hujachelewa kazini basi nyumbani kwako.Huu ni uzi maalum wa kushare kero mbalimbali ndani ya daladala na kushirikiana jinsi gani ya kuzitatua....Mnaowahi kukaa siti za dirishani kwenye daladala mnakera sana yaani mnafunga vioo wakati gari limejaa hata pa kuweka pua hakuna tupumuliane kwenye makwapa au?
Nunua gari la kwako mkuu.
 
🙂🙂
huu uzi utadumu kama ule wa usiku wa manane
 
Aisee! Ndani ya daladala kuna kero jamani mtu unaweza kuwa upo kimya unawaza mambo yako kichwani,mara konda au abiria mwenzako akalianzisha utajuta kupanda daladala hilo mbaya zaidi kushuka huwezi maana kama hujachelewa kazini basi nyumbani kwako.Huu ni uzi maalum wa kushare kero mbalimbali ndani ya daladala na kushirikiana jinsi gani ya kuzitatua....Mnaowahi kukaa siti za dirishani kwenye daladala mnakera sana yaani mnafunga vioo wakati gari limejaa hata pa kuweka pua hakuna tupumuliane kwenye makwapa au?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] na mvua hizi we acha tu
 
Hapo kwenye kuchungulia simu. Huwa naweka mwanga wa mwisho kabisa. Sasa nikiona mtu sielewi huwa najiachia zangu kuchat humu. Siku nimekaa na mtu nikaona anatumia fb nikasema hawez kuwa anaijua JF wacha nijimwaye. Kushtuka si namkuta na yeye yuko JF. Nilitahayari sasa sijui aliona ID yangu akanikaushia.
Sio mm kweliii??
 
Sio wewe [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Yule alikua muoga muoga kweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...mimi huwa niko huru nikikaa sitiii ya nyuma kabisa dirishaniii ndo nayafukua majukwaaa hadiii rahaa...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...mimi huwa niko huru nikikaa sitiii ya nyuma kabisa dirishaniii ndo nayafukua majukwaaa hadiii rahaa...
Kama hapa nimekaa nimejiachia niko peke angu kwenye siti
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Hahahaha au wakuambie kama ungekua na haraka ungekwenda tangu jana unakoenda daladala zina vituko sana nakumbuka siku hiyo alipanda mlevi, sasa tulikua tunaelekea home hapo bado tukiwa mbali sana kufika home, vituo kama vinne mbele walokua wanaingia wadada tu na ndani ya daladala alikua yeye dereva na konda ndio wanaume tulipofika kituo cha mbele tena akaingia msada tena yule mlevinakapaza saut dereva hii gar ni ya wanawake tu?? Hakuna aliemjibu tulipofika stand akaingia mkaka kwa zile pombe akaropoka tena hee dereva nishushe hili gar la wanawake mnanipeleka wapi, yan mwanaume peke yangu tu humu ndan dereva akamjib kwa hiyo me pia mwanamke akasema gari zima wawake tunaenda wapi nilicheka sana that day
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom