DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Halafu ukute kaachia msitu wa Amazon.Kuna wale wanaoingia na nguo zilizokatwa mikono(design ya vest) af akisimama akashika chuma anaachia makwapa yake,hua natamani kutapika
hahahaaa nakuona nakuona ...me litoke wap tena
Hahhaa kumbe nawe umefanya eh?? Nakumbuka nilipata fundisho la kutokuweka kiwiko kwenye dirisha mana ulikua mchezo wangu had siku hiyo mkaka wa nyuma ya siti yangu akasukuma kioo bila kunambia kiwiko kinauma balaa yan nilihisi kuchanganyikiwa na nauli akalipa baada ya hapo sithubutu had leo kuweka hivoHa ha ha ha ha ha hata mimi mara moja moja konda akisahau na mimi najisahaulisha! πππ
Unasimama na mguu mmoja hahahhahahhahahhaJuzi kati nimepanda UDART. Bas kulikuwa mshua mmoja anakanyaga popote pale iwe ni juu ya mtu au juu ya mguu wa mtu, kwake sawa tu. Ikabid nisimamie mguu mmoja halafu mguu unashuka kwa machale pale napopata upenyo.
Hahaha mioyo yenyew midogo kutunza vitu vya kaz gani anaejitokeza unamtwisha tu [emoji23]Yan unabaki unashangaa yote ya nn kumbe mwenzio alikua anatafta sababu atoe lililopo moyoni
weee kuna uzi apa niliuonaga unasema kuna mdada ulimpa lift nkasema na mm nikija mjini kumbe sitapata shida ya kukumbilia usafrKumbe kama mimi tu eeh!
Mishe vipi?
Ahahahaa haya maisha basi tuHahaha mioyo yenyew midogo kutunza vitu vya kaz gani anaejitokeza unamtwisha tu [emoji23]
Halafu unajiona 'hero' fulani.....kama ambavyo ukigombea daladala na ukapata siti unajisikia kidogo..!πππHahhaa kumbe nawe umefanya eh?? Nakumbuka nilipata fundisho la kutokuweka kiwiko kwenye dirisha mana ulikua mchezo wangu had siku hiyo mkaka wa nyuma ya siti yangu akasukuma kioo bila kunambia kiwiko kinauma balaa yan nilihisi kuchanganyikiwa na nauli akalipa baada ya hapo sithubutu had leo kuweka hivo
Umenigusa mkuu kuna wale mama au baba zetu umri umeenda sana anaona kabisa gari imejaa anaamua kupanda tu akitegemea kupishwa kwenye siti.Sipendi kumpisha mtu kwenye siti niliyokaaa
weee kuna uzi apa niliuonaga unasema kuna mdada ulimpa lift nkasema na mm nikija mjini kumbe sitapata shida ya kukumbilia usafr
mishe poa tu naona umegoma kutuma ile ishu me sikukimbiii buanaa[emoji3] [emoji3]
Inaonekana wewe siyo mpambanaji mzuri.Ila kiukwel kukaa kwenye daladala kunachosha nakumbuka kuna wakati nilikua natoka tabata hadi makumbusho(kila siku saa 12asubh)yaani kushuka tu stand unakua hoi balaa.Jamani hapa nmekumbuka daladala za udom ng'ong'ona unaweza soma miaka yote mi3 na usipate siti Siku zote unasimama tu looh
Hahahahaha kweli kabisa ukipata siti unajiona shababi, na ile siti ya pembeni kwa dereva zinakuwaga mbili ile ya karibu na dereva hakuna anaetaka bas full kung'ang'nia upande wa mlangoHalafu unajiona 'hero' fulani.....kama ambavyo ukigombea daladala na ukapata siti unajisikia kidogo..!πππ
Halafu mara nyingi anakuja kusimama pembeni yako na kukutazama usoni.Umenigusa mkuu kuna wale mama au baba zetu umri umeenda sana anaona kabisa gari imejaa anaamua kupanda tu akitegemea kupishwa kwenye siti.
ha ha haaa kwaiyo baada ya ile pm ulizipata nyingi eeeh???Swaga za JF hutakiwi kusema huna gari, unaweza kosa PM mwaka mzima.
Halafu wewe hunikumbushi, now now.
Daladala zina shubuli mkuu em fikiria unakwenda mbezi ya kimara alafu imeshafika saa mbili usiku hzo hekaheka zakeInaonekana wewe siyo mpambanaji mzuri.Ila kiukwel kukaa kwenye daladala kunachosha nakumbuka kuna wakati nilikua natoka tabata hadi makumbusho(kila siku saa 12asubh)yaani kushuka tu stand unakua hoi balaa.
Nilikua napanda gar mbagala had mwenge kwa mwaka mzima wee knachosha hata s uongo yan ukifika hoiInaonekana wewe siyo mpambanaji mzuri.Ila kiukwel kukaa kwenye daladala kunachosha nakumbuka kuna wakati nilikua natoka tabata hadi makumbusho(kila siku saa 12asubh)yaani kushuka tu stand unakua hoi balaa.
Unaweza kusimama na mguu mmoja kiupandeupande kutoka posta hadi mbezi! Huitaji mazoezi hata kidogo!Daladala zina shubuli mkuu em fikiria unakwenda mbezi ya kimara alafu imeshafika saa mbili usiku hzo hekaheka zake
Yaani si mchezo,dsm utapapenda ukiwa na mkoko wako tuDaladala zina shubuli mkuu em fikiria unakwenda mbezi ya kimara alafu imeshafika saa mbili usiku hzo hekaheka zake