Ndani ya Daladala!......

Ndani ya Daladala!......

Juzi kati nimepanda UDART. Bas kulikuwa mshua mmoja anakanyaga popote pale iwe ni juu ya mtu au juu ya mguu wa mtu, kwake sawa tu. Ikabidi nisimamie mguu mmoja halafu mguu mwingine unashuka kwa machale pale napopata upenyo.
 
Aisee kumbe wapo wanaopanda daladala!!

Nilijua ni mimi tu kumbe tupo wengi!
 
Ha ha ha ha ha ha hata mimi mara moja moja konda akisahau na mimi najisahaulisha! 🙂🙂🙂
Hahhaa kumbe nawe umefanya eh?? Nakumbuka nilipata fundisho la kutokuweka kiwiko kwenye dirisha mana ulikua mchezo wangu had siku hiyo mkaka wa nyuma ya siti yangu akasukuma kioo bila kunambia kiwiko kinauma balaa yan nilihisi kuchanganyikiwa na nauli akalipa baada ya hapo sithubutu had leo kuweka hivo
 
Kumbe kama mimi tu eeh!

Mishe vipi?
weee kuna uzi apa niliuonaga unasema kuna mdada ulimpa lift nkasema na mm nikija mjini kumbe sitapata shida ya kukumbilia usafr

mishe poa tu naona umegoma kutuma ile ishu me sikukimbiii buanaa[emoji3] [emoji3]
 
Hahhaa kumbe nawe umefanya eh?? Nakumbuka nilipata fundisho la kutokuweka kiwiko kwenye dirisha mana ulikua mchezo wangu had siku hiyo mkaka wa nyuma ya siti yangu akasukuma kioo bila kunambia kiwiko kinauma balaa yan nilihisi kuchanganyikiwa na nauli akalipa baada ya hapo sithubutu had leo kuweka hivo
Halafu unajiona 'hero' fulani.....kama ambavyo ukigombea daladala na ukapata siti unajisikia kidogo..!🙂🙂🙂
 
Sipendi kumpisha mtu kwenye siti niliyokaaa
Umenigusa mkuu kuna wale mama au baba zetu umri umeenda sana anaona kabisa gari imejaa anaamua kupanda tu akitegemea kupishwa kwenye siti.
 
weee kuna uzi apa niliuonaga unasema kuna mdada ulimpa lift nkasema na mm nikija mjini kumbe sitapata shida ya kukumbilia usafr

mishe poa tu naona umegoma kutuma ile ishu me sikukimbiii buanaa[emoji3] [emoji3]

Swaga za JF hutakiwi kusema huna gari, unaweza kosa PM mwaka mzima.

Halafu wewe hunikumbushi, now now.
 
Jamani hapa nmekumbuka daladala za udom ng'ong'ona unaweza soma miaka yote mi3 na usipate siti Siku zote unasimama tu looh
Inaonekana wewe siyo mpambanaji mzuri.Ila kiukwel kukaa kwenye daladala kunachosha nakumbuka kuna wakati nilikua natoka tabata hadi makumbusho(kila siku saa 12asubh)yaani kushuka tu stand unakua hoi balaa.
 
Halafu unajiona 'hero' fulani.....kama ambavyo ukigombea daladala na ukapata siti unajisikia kidogo..!🙂🙂🙂
Hahahahaha kweli kabisa ukipata siti unajiona shababi, na ile siti ya pembeni kwa dereva zinakuwaga mbili ile ya karibu na dereva hakuna anaetaka bas full kung'ang'nia upande wa mlango
 
Umenigusa mkuu kuna wale mama au baba zetu umri umeenda sana anaona kabisa gari imejaa anaamua kupanda tu akitegemea kupishwa kwenye siti.
Halafu mara nyingi anakuja kusimama pembeni yako na kukutazama usoni.
 
Inaonekana wewe siyo mpambanaji mzuri.Ila kiukwel kukaa kwenye daladala kunachosha nakumbuka kuna wakati nilikua natoka tabata hadi makumbusho(kila siku saa 12asubh)yaani kushuka tu stand unakua hoi balaa.
Daladala zina shubuli mkuu em fikiria unakwenda mbezi ya kimara alafu imeshafika saa mbili usiku hzo hekaheka zake
 
Inaonekana wewe siyo mpambanaji mzuri.Ila kiukwel kukaa kwenye daladala kunachosha nakumbuka kuna wakati nilikua natoka tabata hadi makumbusho(kila siku saa 12asubh)yaani kushuka tu stand unakua hoi balaa.
Nilikua napanda gar mbagala had mwenge kwa mwaka mzima wee knachosha hata s uongo yan ukifika hoi
 
Back
Top Bottom