Mbowe amekijenga chama miaka 20 kikiwa na umoja na mshikamano hadi anakabidhi kijiti alicho king"ang'ania Lissu. Mtoto akililie wembe mpe! baada ya siku chache tu Chadema imegawanyika vipande, G55 na timu Lisu.
Umoja na mshikamano alio ujenga mbowe kwa zaidi ya miaka 20 umevurugwa na Lisu ndani ya siku chache.
Wanachadema asili tusikiache chama kisambaratishwe na hawa jamaa. tufanye namna ili kuinusuru Chadema aliye ijenga Mbowe kwa hali na mali.