Ndani ya kipindi kifupi tu Lisu amekipasua chama vipande viwili, G55 na timu Lissu

Ndani ya kipindi kifupi tu Lisu amekipasua chama vipande viwili, G55 na timu Lissu

Kamwe Taifa letu haliwezi kupasuka bali utapasuka wewe na wahuni wa Lisu wanao ota wakidhani wanaweza kuvuruga amani ya nchi yetu.
Kawaida inasemwa amani na nyie wote ila neno haki ni kaa la moto midomoni mwenu.
 
Mbowe amekijenga chama miaka 20 kikiwa na umoja na mshikamano hadi anakabidhi kijiti alicho king"ang'ania Lissu. Mtoto akililie wembe mpe! baada ya siku chache tu Chadema imegawanyika vipande, G55 na timu Lisu.

Umoja na mshikamano alio ujenga mbowe kwa zaidi ya miaka 20 umevurugwa na Lisu ndani ya siku chache.
Wanachadema asili tusikiache chama kisambaratishwe na hawa jamaa. tufanye namna ili kuinusuru Chadema aliye ijenga Mbowe kwa hali na mali.


Kwani G55 Kuunda chama chao mwenye kiti akawa mbowe au kuhama chama wanakua wana vunja katiba au amri kumi za mungu?

Yawezekana chadema ya sasa ikaja kuwa na sura ya kitaifa zaidi.
Awali ilionekana ni ya watu wa ukanda flani.
 
Chama kiko salama ile milio ya G55 ni sindano inaingia vizuri
 
Chadema imegawanyika vipande, G55 na timu Lisu.
Wewe chawa,
Hakuna mpasuko wowote Chadema.
Hao G55 ni chawa na makada wa ccm. Ni matokeo ya matumizi mabaya ya pesa za walipakodi. Hao kenge hawana jipya, wanazingatiwa na mafisadi wa ccm pekee
 
Back
Top Bottom