G55 hawana hiyo nguvu kama mnavyo wakuza. Is why hata uongoz wa chadema hauwaongeleiMbowe amekijenga chama miaka 20 kikiwa na umoja na mshikamano hadi anakabidhi kijiti alicho king"ang'ania Lissu. Mtoto akililie wembe mpe! baada ya siku chache tu Chadema imegawanyika vipande, G55 na timu Lisu.
Umoja na mshikamano alio ujenga mbowe kwa zaidi ya miaka 20 umevurugwa na Lisu ndani ya siku chache.
Wanachadema asili tusikiache chama kisambaratishwe na hawa jamaa. tufanye namna ili kuinusuru Chadema aliye ijenga Mbowe kwa hali na mali.
Mbowe amekijenga chama miaka 20 kikiwa na umoja na mshikamano hadi anakabidhi kijiti alicho king"ang'ania Lissu. Mtoto akililie wembe mpe! baada ya siku chache tu Chadema imegawanyika vipande, G55 na timu Lisu.
Umoja na mshikamano alio ujenga mbowe kwa zaidi ya miaka 20 umevurugwa na Lisu ndani ya siku chache.
Wanachadema asili tusikiache chama kisambaratishwe na hawa jamaa. tufanye namna ili kuinusuru Chadema aliye ijenga Mbowe kwa hali na mali.
Hoja nzuri sana hii kwa wenye masikio!Mbowe amekijenga chama miaka 20 kikiwa na umoja na mshikamano hadi anakabidhi kijiti alicho king"ang'ania Lissu. Mtoto akililie wembe mpe! baada ya siku chache tu Chadema imegawanyika vipande, G55 na timu Lisu.
Umoja na mshikamano alio ujenga mbowe kwa zaidi ya miaka 20 umevurugwa na Lisu ndani ya siku chache.
Wanachadema asili tusikiache chama kisambaratishwe na hawa jamaa. tufanye namna ili kuinusuru Chadema aliye ijenga Mbowe kwa hali na mali.
Nakuunga mkono na ndio maana hata Rais Samia HAWEZI kumzungumzia Lissu sijui kakamatwa. Sijui Hilda Newton kafanyaje. Ni watu wadogo sana kwa Rais!G55 hawana hiyo nguvu kama mnavyo wakuza. Is why hata uongoz wa chadema hauwaongelei
Hiko chama kingekuwa kimeoasuka kama unavyodai, hakuna ambae angejitokeza kwenye harakati zake
toa ujinga wako hapa, unawajua watu wakubwa?Nakuunga mkono na ndio maana hata Rais Samia HAWEZI kumzungumzia Lissu sijui kakamatwa. Sijui Hilda Newton kafanyaje. Ni watu wadogo sana kwa Rais!
Achaa unaaafikiMbowe amekijenga chama miaka 20 kikiwa na umoja na mshikamano hadi anakabidhi kijiti alicho king"ang'ania Lissu. Mtoto akililie wembe mpe! baada ya siku chache tu Chadema imegawanyika vipande, G55 na timu Lisu.
Umoja na mshikamano alio ujenga mbowe kwa zaidi ya miaka 20 umevurugwa na Lisu ndani ya siku chache.
Wanachadema asili tusikiache chama kisambaratishwe na hawa jamaa. tufanye namna ili kuinusuru Chadema aliye ijenga Mbowe kwa hali na mali.
Kumikiki masikio marefu kama office chairs bila akili zenye kupembua mambo kwa weledi ni sawa na mabawa ya popo tu.Hoja nzuri sana hii kwa wenye masikio!
Mjinga ni Mimi au wewe?toa ujinga wako hapa, unawajua watu wakubwa?
ni weweMjinga ni Mimi au wewe?
Je walio lipasua taifa umewaona au unaona akina g55 pekeee?Mbowe amekijenga chama miaka 20 kikiwa na umoja na mshikamano hadi anakabidhi kijiti alicho king"ang'ania Lissu. Mtoto akililie wembe mpe! baada ya siku chache tu Chadema imegawanyika vipande, G55 na timu Lisu.
Umoja na mshikamano alio ujenga mbowe kwa zaidi ya miaka 20 umevurugwa na Lisu ndani ya siku chache.
Wanachadema asili tusikiache chama kisambaratishwe na hawa jamaa. tufanye namna ili kuinusuru Chadema aliye ijenga Mbowe kwa hali na mali.
Kamwe Taifa letu haliwezi kupasuka bali utapasuka wewe na wahuni wa Lisu wanao ota wakidhani wanaweza kuvuruga amani ya nchi yetu.Je walio lipasua taifa umewaona au unaona akina g55 pekeee?