Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
- Thread starter
-
- #61
Wajinga sanaCCM mnaioverate kijinga. Ingekuwa Bora isingehitaji bunduki kuua watu ili ishinde uchaguzi. Pia kumbuka deni la taifa limepanda mara mbili ndani ya miaka minne. Nyie mnahangaika na spinning. Very stupid
NCHIMBI SINCE THEN,HE IS NOT A WEAK MAN,AS YOU THOUGHT!...Hii ni very classified information.
Siongezi neno
Mto wa mbu
State of Illinois
NCHIMBI NI KIJANA ALIYEKULIA UVCCM, NA SIYO MTU DHAIFU KIASI HIKO,NA NDANI YA CCM HAKIPO KILE MNACHOFIKIRIA!......🛑Hii ni very classified information.
Siongezi neno
Mto wa mbu
State of Illinois
Wajumbe wa NEC wameanza ku report Dodoma Jana usiku , ila Agenda ni Siri yanayozungumzwa ni mengiKuna thread iliwekwa juzi na Britannica, na Jana kuna thread ya Kikao cha Dharura cha NEC, na pia kuna tamko au Kauli ya Askofu Bagonza anaye dai wanataka maridhiano wakati Ndani Chama chao hawataki kuridhiana.
Na Mwisho kutumika Kwa Mamluki kumshinikiza Mpitimbi ajiuzulu kabla hajaondolewa kwa njia zingenezo
Tutaona mengi utawala huu hovyo sana.Hii ni very classified information.
Siongezi neno
Mto wa mbu
State of Illinois
Atamuua huyo Mama arithi nafasi. Wallahi nawaambia.Zamu ya makonda kusogea kwa mama Yao ishafika? Kijana hatari kbs na mpanga karata wa mamaduro
Kama Mlumbi na Mshititi wa Lugha ya Kiswahili hakuna neno Masaa 48 bali kuna neno sahihi la Saa 48. Tujifunze Kiswahili.Hii ni very classified information.
Siongezi neno
Mto wa mbu
State of Illinois
TawileHii ni very classified information.
Siongezi neno
Mto wa mbu
State of Illinois
usiogope,Mungu huingia wakati shetani nafkiri kila kitu kiko sawa,Basi ukiwa kweli atajitoa basi kama nchi tumekwisha kabisa. Shetani atatawala kwa raha zake
AsanteKama Mlumbi na Mshititi wa Lugha ya Kiswahili hakuna neno Masaa 48 bali kuna neno sahihi la Saa 48. Tujifunze Kiswahili.
Gazeti la mwana halisi limefungwa na wewe utafungiwa.Ikiwa hivyo itadhhirisha nguvu ya Msoga bado iko juu sana.
Maamuzi hayo yatakuwa ni matokeo ya kikao chao.
SIsi Watanzania wanting hayatuhusuAng'atuke, asing'atuke watajuana wenyewe huko huko.