Tetesi: Ndani ya masaa 48 Dr. Nchimbi Kung'atuka umakamu wa Rais kwa kujiuzulu

Hii ni very classified information.

Siongezi neno

Mto wa mbu
State of Illinois
Screenshot_20260825-110428.png

Hatua inayofuata sasa ni SSH kujiuzulu
 
Itakuuma sana. Ila relax. Siasa ni mchezo tuu kama mpira
Gentleman,
mim haiwezi kuniuma kwasababu,
kwanza siasa sio ya kuweka kwa roho, lakini pili, mimi ni among very few visionary and flexible young politician humu nchini.

so,
I can do politics regardless of what happened to those who I believe to be my role model in politics, because they are so many 🐒
 
Hicho kinyani mwishoni ni nani ako?
 
Back
Top Bottom