Tetesi: Ndani ya masaa 48 Dr. Nchimbi Kung'atuka umakamu wa Rais kwa kujiuzulu

Tetesi: Ndani ya masaa 48 Dr. Nchimbi Kung'atuka umakamu wa Rais kwa kujiuzulu

Yote hayo ni kutaka kuneutralize matukio yaliyopita.

Jana niliwahi kusema humu ukiachilia mapungufu yetu sisi wanachama bado CCM ndio Chama bora zaidi Tanzania.
Tunahamisha mjadala taaaratibu.

I will beg to differ, kuhamisha mjadala kuna njia nyingi lakini si kwa cost ya hili. Na ubora wa chama haupimwi kw akuhamisha mjadala
 
Back
Top Bottom