Tetesi: Ndani ya masaa 48 Dr. Nchimbi Kung'atuka umakamu wa Rais kwa kujiuzulu

Tetesi: Ndani ya masaa 48 Dr. Nchimbi Kung'atuka umakamu wa Rais kwa kujiuzulu

Hii ni dharau.

Yaani unaandika Taarifa kwa Uma kujiuzulu badala ya kumuandikia bosi wako??
Hujasoma taarifa hadi mwisho?

Alishamuandikia bosi wake muda ndiyo akatangaza kwenye akaunti yake ya social media maana hakatazwi kufanya hivi.
 
Sasa hiyo taarifa anatoa nani ?

Maana kujiuzulu kuna kukubaliwa au kukataliwa.
Amefuata utaratibu wa kikatiba kumuandikia barua bosi wake.

Na yeye kwa utashi wake kwakuwa ni mtumishi wa umma ana haki ya kuujuza umma juu ya maamuzi yake aliyofikia.

Jukumu la kuthibitisha kupokea barua ni la upande mwingine ila kwa upande wake amemaliza wajibu wake.
 
MAGUFULI aliuawa hiii ni 100% sasa VERIFIED...

Alie muua ndio wakumtafuta
 
Back
Top Bottom