Tetesi: Ndani ya masaa 48 Dr. Nchimbi Kung'atuka umakamu wa Rais kwa kujiuzulu

Tetesi: Ndani ya masaa 48 Dr. Nchimbi Kung'atuka umakamu wa Rais kwa kujiuzulu

Yote hayo ni kutaka kuneutralize matukio yaliyopita.

Jana niliwahi kusema humu ukiachilia mapungufu yetu sisi wanachama bado CCM ndio Chama bora zaidi Tanzania.
Tunahamisha mjadala taaaratibu.
Hapa ilikuwa unabisha Ncjimbi hatajiuzulu na hizi habari ni za kutaka ku neutralize matukio yaliyopita?

Au Nchimbi kujiuzulu ndiyo ku neutralize matukio yaliyopita?

Kama ninla kwanza, Nchimbi hajajiuzulu?

Kama.ni la pili, Nchimbi kujiuzulu kuna neutralize lipi lililopita? Kivipi?
 
Back
Top Bottom