Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
- Thread starter
- #201
Hao vibaka tu wafua boxer za KihongosiAtleast you have tried to hit the target kuliko hao kina Lucas Mwashambwa
Hao vibaka tu wafua boxer za KihongosiAtleast you have tried to hit the target kuliko hao kina Lucas Mwashambwa
Nitajie I have no clueTuliza Kende wewe, tuna Intel za Hali ya juu,unajita mwana CCM ila huna Intel kabisa, by the way unajua VP ni nani? Au nikutajie
You were right niggaHii ni very classified information.
Siongezi neno
Mto wa mbu
State of Illinois
Salimia watu, now Dunia ni intelligence, najua ata serikali imeshtuka nimejuaje😁You were right nigga
Hiki ndicho ninachokiona na mm piaMchezo umekamilika. Now I see next President from southern party of Tanzania 2030
Watakuelewa wachache...Jana Lissu alisema anatembea na risasi mgongoni kwa usalama wake, vipo vitu lazima utambee navyo ukivitoa unapoteza uhai au unakuwa kilema maisha.
Hapo ndipo utajua Lisu ni chuma cha pua.
Ikitokea ameng'atuka.
Yaani kwa shinikizo. Yaani ajiuzulu bila sababu ya kueleweka. Hahaha! Itakuwa aibu sana
Na sasa unasemaje.mbona hamrudi kuendelea na ujuaji.Yote hayo ni kutaka kuneutralize matukio yaliyopita.
Jana niliwahi kusema humu ukiachilia mapungufu yetu sisi wanachama bado CCM ndio Chama bora zaidi Tanzania.
Tunahamisha mjadala taaaratibu.
Boss waza nje ya Box.Na sasa unasemaje.mbona hamrudi kuendelea na ujuaji.
AsanteWatakuelewa wachache...
Acha kiwakeBaada ya Makamu wa Rais ni wakati wa Rais mwenyewe pia kujiuzulu ili nchi inanze upya
Lisemwalo lipoHakuna kitu kama hicho
Hii ni very classified information.
Siongezi neno
Mto wa mbu
State of Illinois
Kama boss hamuelewi ila umma wanaelewena kwanini asiwasiliane na anao elewana naoHii ni dharau.
Yaani unaandika Taarifa kwa Uma kujiuzulu badala ya kumuandikia bosi wako??