Ndani ya miaka mitatu Al Hilal imeingia hatua ya makundi mara tatu, Simba mara moja tu!

Simba vs nkana
Simba vs fc platinum
Simba hapo alitinga makundi hakuishia hapo akaenda roboX2
Simba vs jwanang galaxy simba hakufuzu akaingia shirikisho huko nako akaenda mpaka robo.
But ww jamaa posts zako nyingi ni za kujitoa ufahamu na unawaibisha uto wenzio wote mnaonekana hamna akili
 
Mwaka 2019/20 Al Hilal waliingia hatua ya makundi wakati Simba iliondoshwa mapema na Ud Songo.

Mwaka 2020/21 wote Simba na Al Hilal waliingia hatua ya makundi.

Mwaka 2021/22 Al Hilal walitinga hatua ya makundi na Simba iliondoshwa mapema na Jwaneng Galaxy. Kumbe ndiyo maana Al Hilal walipotinga makundi mara hii wakaandika "Four times in a row", naomba kuwasilisha.
Leo ndio mmejua kuwa al hilal ji timu kubwa mithili ya simba.
Kale kasemaji kenu kalisema ni timu ndogo tu mtawapiga kama ngoma
CAFCL ni kwa timu kubwa
 
Simba vs nkana
Simba vs fc platinum
Simba hapo alitinga makundi hakuishia hapo akaenda roboX2
Simba vs jwanang galaxy simba hakufuzu akaingia shirikisho huko nako akaenda mpaka robo.
But ww jamaa posts zako nyingi ni za kujitoa ufahamu na unawaibisha uto wenzio wote mnaonekana hamna akili
Huyo ni ndugu yake Aziz Ufunguo angalia vizuri wamefanana sana
 
Itabidi tuweke nukuu zenu kabla ya mechi na baada ya mechi maana Manara kawafundisha utamaduni mpya
 
Mbona kila uzi unamtajataja huyu Al shaabab? Kuwa na kiasi
Huyu jamaa hana tofauti na yule mwingine aliye iita timu ya Taifa Kichwa cha mwendawazimu! Najaribu tu kuwakumbusha baadhi ya watu.

Ili ikiwezekana wawaombe hao watu wawili msamaha kabla ya kuhitimisha safari yao hapa duniani. Kinyume na hapo, hali itaendelea milele.
 
Shauri yako, endelea tu kumtaja taja mwanaume mwenzio daily
 
Simba vs nkana
Simba vs fc platinum
Simba hapo alitinga makundi hakuishia hapo akaenda roboX2
Simba vs jwanang galaxy simba hakufuzu akaingia shirikisho huko nako akaenda mpaka robo.
But ww jamaa posts zako nyingi ni za kujitoa ufahamu na unawaibisha uto wenzio wote mnaonekana hamna akili
Nkana ud songo platinum jwaneng galaxy agosto hamna consistency kwenye klabu bingwa
 
1998 namba zangu za airtel money sijamtaja mtu hapo
 
Simba vs nkana
Simba vs fc platinum
Simba hapo alitinga makundi hakuishia hapo akaenda roboX2
Simba vs jwanang galaxy simba hakufuzu akaingia shirikisho huko nako akaenda mpaka robo.
But ww jamaa posts zako nyingi ni za kujitoa ufahamu na unawaibisha uto wenzio wote mnaonekana hamna akili
Na simba alikuwa kundi moja na al ahly akaongoza kundi simba na al ahly akawa bingwa wa Caf champions league msimu ule sijui anataka kusema nini hyo mtoa mada
 
Mwaka 2019/20 Al Hilal waliingia hatua ya makundi wakati Simba iliondoshwa mapema na Ud Songo.

Mwaka 2020/21 wote Simba na Al Hilal waliingia hatua ya makundi.

Mwaka 2021/22 Al Hilal walitinga hatua ya makundi na Simba iliondoshwa mapema na Jwaneng Galaxy. Kumbe ndiyo maana Al Hilal walipotinga makundi mara hii wakaandika "Four times in a row", naomba kuwasilisha.
 
Attachments

  • Screenshot_20221019-091535_Facebook.jpg
    Screenshot_20221019-091535_Facebook.jpg
    322.7 KB · Views: 2
Mwaka 2019/20 Al Hilal waliingia hatua ya makundi wakati Simba iliondoshwa mapema na Ud Songo.

Mwaka 2020/21 wote Simba na Al Hilal waliingia hatua ya makundi.

Mwaka 2021/22 Al Hilal walitinga hatua ya makundi na Simba iliondoshwa mapema na Jwaneng Galaxy. Kumbe ndiyo maana Al Hilal walipotinga makundi mara hii wakaandika "Four times in a row", naomba kuwasilisha.
Umejitahidi embu sasa tuwasilishe na za Yanga maana msemaji wetu alituamniaga Al Hilal ni timu ya kawaida tu kwa yanga
 
Mwaka 2019/20 Al Hilal waliingia hatua ya makundi wakati Simba iliondoshwa mapema na Ud Songo.

Mwaka 2020/21 wote Simba na Al Hilal waliingia hatua ya makundi.

Mwaka 2021/22 Al Hilal walitinga hatua ya makundi na Simba iliondoshwa mapema na Jwaneng Galaxy. Kumbe ndiyo maana Al Hilal walipotinga makundi mara hii wakaandika "Four times in a row", naomba kuwasilisha.
Na Sisi Yanga tumeingia mara ngapi?
 
Back
Top Bottom