Yaani hawa jamaa, HAMNAZO KABISAAA!Kwahyo inapunguza machungu?
Leo ndio mmejua kuwa al hilal ji timu kubwa mithili ya simba.Mwaka 2019/20 Al Hilal waliingia hatua ya makundi wakati Simba iliondoshwa mapema na Ud Songo.
Mwaka 2020/21 wote Simba na Al Hilal waliingia hatua ya makundi.
Mwaka 2021/22 Al Hilal walitinga hatua ya makundi na Simba iliondoshwa mapema na Jwaneng Galaxy. Kumbe ndiyo maana Al Hilal walipotinga makundi mara hii wakaandika "Four times in a row", naomba kuwasilisha.
Comment bora ya siku.Mke kumsifia mumewe kawaida sana hiyo
Huyo ni ndugu yake Aziz Ufunguo angalia vizuri wamefanana sanaSimba vs nkana
Simba vs fc platinum
Simba hapo alitinga makundi hakuishia hapo akaenda roboX2
Simba vs jwanang galaxy simba hakufuzu akaingia shirikisho huko nako akaenda mpaka robo.
But ww jamaa posts zako nyingi ni za kujitoa ufahamu na unawaibisha uto wenzio wote mnaonekana hamna akili
Ndiyo kipindi Ismail Aden Rage alikuwa ni Mwenyekiti, au!Nimeanza kuipenda club Africane tangu Mwaka 1999.
Mbona kila uzi unamtajataja huyu Al shaabab? Kuwa na kiasiNdiyo kipindi Ismail Aden Rage alikuwa ni Mwenyekiti, au!
Huyu jamaa hana tofauti na yule mwingine aliye iita timu ya Taifa Kichwa cha mwendawazimu! Najaribu tu kuwakumbusha baadhi ya watu.Mbona kila uzi unamtajataja huyu Al shaabab? Kuwa na kiasi
Shauri yako, endelea tu kumtaja taja mwanaume mwenzio dailyHuyu jamaa hana tofauti na yule mwingine aliye iita timu ya Taifa Kichwa cha mwendawazimu! Najaribu tu kuwakumbusha baadhi ya watu.
Ili ikiwezekana wawaombe hao watu wawili msamaha kabla ya kuhitimisha safari yao hapa duniani. Kinyume na hapo, hali itaendelea milele.
Itabidi mpewe kombe lenu la makundi.Mara ya mwisho Utopolo kuingia makundi Baba wa Taifa alikuwa bado mzima wa afya
Akili yako muda wote inawaza mambo hayo tu. Siyo kosa lako. Ndiyo dunia yenu mliyopo kwa sasa. Pole sana.Shauri yako, endelea tu kumtaja taja mwanaume mwenzio daily
Nkana ud songo platinum jwaneng galaxy agosto hamna consistency kwenye klabu bingwaSimba vs nkana
Simba vs fc platinum
Simba hapo alitinga makundi hakuishia hapo akaenda roboX2
Simba vs jwanang galaxy simba hakufuzu akaingia shirikisho huko nako akaenda mpaka robo.
But ww jamaa posts zako nyingi ni za kujitoa ufahamu na unawaibisha uto wenzio wote mnaonekana hamna akili
Pole wewe unayejihesabia haki siku zote.Akili yako muda wote inawaza mambo hayo tu. Siyo kosa lako. Ndiyo dunia yenu mliyopo kwa sasa. Pole sana.
Na simba alikuwa kundi moja na al ahly akaongoza kundi simba na al ahly akawa bingwa wa Caf champions league msimu ule sijui anataka kusema nini hyo mtoa madaSimba vs nkana
Simba vs fc platinum
Simba hapo alitinga makundi hakuishia hapo akaenda roboX2
Simba vs jwanang galaxy simba hakufuzu akaingia shirikisho huko nako akaenda mpaka robo.
But ww jamaa posts zako nyingi ni za kujitoa ufahamu na unawaibisha uto wenzio wote mnaonekana hamna akili
Mwaka 2019/20 Al Hilal waliingia hatua ya makundi wakati Simba iliondoshwa mapema na Ud Songo.
Mwaka 2020/21 wote Simba na Al Hilal waliingia hatua ya makundi.
Mwaka 2021/22 Al Hilal walitinga hatua ya makundi na Simba iliondoshwa mapema na Jwaneng Galaxy. Kumbe ndiyo maana Al Hilal walipotinga makundi mara hii wakaandika "Four times in a row", naomba kuwasilisha.
Umejitahidi embu sasa tuwasilishe na za Yanga maana msemaji wetu alituamniaga Al Hilal ni timu ya kawaida tu kwa yangaMwaka 2019/20 Al Hilal waliingia hatua ya makundi wakati Simba iliondoshwa mapema na Ud Songo.
Mwaka 2020/21 wote Simba na Al Hilal waliingia hatua ya makundi.
Mwaka 2021/22 Al Hilal walitinga hatua ya makundi na Simba iliondoshwa mapema na Jwaneng Galaxy. Kumbe ndiyo maana Al Hilal walipotinga makundi mara hii wakaandika "Four times in a row", naomba kuwasilisha.
Na Sisi Yanga tumeingia mara ngapi?Mwaka 2019/20 Al Hilal waliingia hatua ya makundi wakati Simba iliondoshwa mapema na Ud Songo.
Mwaka 2020/21 wote Simba na Al Hilal waliingia hatua ya makundi.
Mwaka 2021/22 Al Hilal walitinga hatua ya makundi na Simba iliondoshwa mapema na Jwaneng Galaxy. Kumbe ndiyo maana Al Hilal walipotinga makundi mara hii wakaandika "Four times in a row", naomba kuwasilisha.
Ngoja amalize kunywa uji atakujibuNa Sisi Yanga tumeingia mara ngapi?