Ndani ya miezi mitatu kutakuwa na mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri

Mwanadiplomasia Mahiri

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
491
Reaction score
1,907
Kutoka katika korido za Lumumba mpaka korido za Magogoni ma Chamwino, moto unawaka.

Yule mropokaji ametimiza kwa uzuri ile script yake aliyopewa kule Umasaini jana.

Kuna mabadiliko makubwa yanakuja katika baraza.

Kuna majina makubwa yataondolewa katika nafasi zao za sasa! Naambiwa wale wazee waliowekwa pembeni huwenda wakarejea!

Ni ndani ya miezi mitatu kuanzia iliposomwa jana ile script pale umasaini!
 
 
Naona jana Zile nyama huko umasaini hazijaliwa vzr.. hamu yote kwisha.
 
Kama maneno ya makonda ndo yanayofanya kutokea hayo mabadiliko basi ni bora kusiwe na hayo mabadiliko!

Maana source ya hayo mabadiliko itakuwa ni fitna na chuki!

Mabadiliko makubwa ya Cabinet yalitakiwa siku nyingi sana na sababu ini kuweka watu wenye uwezo na maarifa na ambao wanaweza kuipeleka nchi ywtu mbele kiuchumi na kimaendeleo. Sio hizi fitna za machawa kina Makonda na wengine ambao kazi zao ni kujipendekeza na kutaka fursa tu
 
Reactions: Ame
Naona jana Zile nyama huko umasaini hazijaliwa vzr.. hamu yote kwisha.
Kuna yule Kenge wa Mtama aliyefanya Party kwamba kuondoka kwa Jiwe Mungu kaamua Ugomvi na sasa ana furaha.

Kuna yule alituambia tuhamie Burundi kama tunaona maisha ni magumu.

Kuna yule yeye na Familia yake Wanaamini Wazuri hawafi! Kumbe wakasahau Shetani/ bogus ni wao.
Hawa lolote liwakute japo nawaombea sana kwa Mungu wawe na afya njema daima.
 
Alikosa ushahidi wa kufanya total reform ila kwa Sasa anaonekana kapata ila Sasa ataanzaje , Makonda ni kisemeo tu
 
Acha kupiga ramli ndugu fanya kazi wanao wapate kwenda msalani.
 
Reactions: Ame
Pole Januari
 
Alikosa ushahidi wa kufanya total reform ila kwa Sasa anaonekana kapata ila Sasa ataanzaje , Makonda ni kisemeo tu
Kwa hiyo yale majina kashapeleka jana (j,tatu). Hivyo wote kuondolewa na mkeka mpya kutangazwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…