BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imesema hadi kufikia Aprili 2024, kulikuwa na Vituo 3,862 Vilivyosajiliwa kwa Kulelea Watoto 397,935 (Wakiume 175,517 & Wakike 222,418) na Vituo 206 vya Kijamii vyenye Watoto 11,675
Idadi hiyo ni ongezeko la Watoto 225,003 sawa na 55% kutoka Watoto 184,606 (Wakiume 86,832 na Wakike 97,774) na Vituo 829 sawa 21.% ya idadi iliyokuwepo katika kipindi cha mwaka 2022 hadi 2023.
Pia Soma Bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kwa mwaka 2024/25