Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imesema hadi kufikia Aprili 2024, kulikuwa na Vituo 3,862 Vilivyosajiliwa kwa Kulelea Watoto 397,935 (Wakiume 175,517 & Wakike 222,418) na Vituo 206 vya Kijamii vyenye Watoto 11,675
Idadi hiyo ni ongezeko la Watoto 225,003 sawa na 55% kutoka Watoto 184,606 (Wakiume 86,832 na Wakike 97,774) na Vituo 829 sawa 21.% ya idadi iliyokuwepo katika kipindi cha mwaka 2022 hadi 2023.
Ndoa ya mke mmoja, ni moja ya sababu kwani wanaume wakizalisha wanaogopa kuwatambulisha kwao....
Utafiti ulifanyika Kenya kwa kuchukua miji yenye waislam wengi kama Mombasa, malindi nk ikilinganishwa na mij inayotawaliwa na madhehebu mengine