Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Kuna maamuzi ambayo bwana Trump anafanya anakuwa kama kachanganyikiwa na haelewi Geopolitics zilivyo.
Kwanini nasema hivyo?
Hivi karibuni katangaza Marekani kusitisha misaada kwenye nchi zote duniani isipokuwa Israel na Egypt.
Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu atajua kwamba, the only reason Marekani inaheshimika duniani ni kwa sababu ya PESA NA MISAADA inazotoa duniani kote.
Hata hapa nchini kwetu, viongozi wakubwa wanaiheshimu Marekani because wanajua kabisa waki-mess up, misaada itakatwa na kuna miradi ya kimaendeleo itakwama.
Anapojitokeza mtu kama Trump anatishia kuondoa misaada maana yake hapo ni kwamba anataka AUE influence ya Marekani nchini Tanzania na Afrika kwa ujumla
Yaani kama hutupi misaada, hutoi senti tano kwenye miradi yetu ya maendeleo, kwanini tukusikilize?
Unapata wapi nguvu za kuniambia Uchaguzi wenu hauko sawa wakati hata senti 5 ya bajeti yetu hujatuchangia?
Hicho ndo kitu Trump anashindwa kuelewa
Misaada ni form of soft power na njia ya Marekani kupitisha agenda zake.
Trump akiendelea na sera yake hii, ataua kabisa significance ya Marekani Afrika meanwhile Uchina na Urusi wakiwa busy kusaka influence yetu.
Tukumbuke tu kuwa mwezi Septemba Xi Jinping ametangaza kwamba Uchina itatoa 51 Billion dollars kwa Afrika ndani ya miaka 3. Putin kwa upande wake mwaka 2023 alifuta 23 Billion USD ya madeni kwa Afrika na akatoa Milioni 90 USD kama misaada kwa Afrika.
Mlio karibu na Trump mwambieni, Marekani ikiendelea na sera hii, wasishangae in 20 years to come, hakuna hata tamko moja watakalolitoa Waafrika tutalisikiza
Afrika yote itakuwa imeikumbatia Urusi na kuongea lugha ya Kichina.