Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
- Thread starter
- #21
Walio karibu na Trump mwambieni ninashukuru sana kwa hatua hii..
Kwangu mimi taifa lrnye mika 60, kulalamika kunyimwa msaada wa kuhengewa choo na kuhudumia wajawazito ni taifa la wasionjitambua.
Kwa miaka uote wameendekea kutoa misaada, imewafaidi nini wanchi maskini kama sio kudhalilishwa kwa kupigwa picha zinzokwenda kuonyesha tusivyo jitambua.
Misaada imefanya nini zaidi ya kunujua magari ya kifahari na kujinufaisha binafsi wateule wachache.
Kwamba urusi na china wataziba hilo ombwe ni kukidanganya. Hawawezi wanafahamu zitaliwa na fisi.
Badala yake tutumie muda huu wa siku 90 kumwomba Trump alifute kabisa USAID kwani, misaada kupitia kwao haina matokeo kwa maskini labda kwao.
Unajidanganya sana kama unadhani hatuendelei kwa sababu tunapewa misaada.
Israel na Egypt ni nchi zilizoendelea sana lakini bado zinapokea misaada.
Kusema kwamba hatuendelei kwa sababu tunapokea misaada ni ukichaa