Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Misaada sio haki yako, ni hisani tu. Sawa bi aisha ?Sawa Mmarekani wa Buza kwa mama kibonge.
Siku ukisikia ARV zimekatwa bongo usije ukatuanzishia uzi kulalamikami
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Misaada sio haki yako, ni hisani tu. Sawa bi aisha ?Sawa Mmarekani wa Buza kwa mama kibonge.
Siku ukisikia ARV zimekatwa bongo usije ukatuanzishia uzi kulalamikami
Kumbuka hiyo misaada sio sheria ni utashi wao tu.Kama misaada ikiminywa mbona akili zitatukaa sawa tu!
Sio wakutegemea sababu hawana mambo watakayolazimisha nchi yako iyafanye ndo upate hizo pesa kikubwa kama hujielewi utapigwa kama unajielewa mtaenda sawa.....ila wamagharibi ujielewe usijielewe lazima ukipokea chao kuna agenda zao ukubaliane nazo kama kwa sasa walikua wanalazimisha sana mambo ya ushoga na demokrasia zao za kuingiza ma puppet wao kupitia hio misaada yaoNo free lunch. Tena mchina na mrusi ndio sio wakutegemea kabisa .
Unataka kusema wakitunyima misaada tuwafungulie mashitaka?Sio utashi mkuu.
Marekani anafaidika na hiyo misaada.
Kenya alitaka kuanza kununua mafuta kutoka Iran kwa bei ya chini sana lakini alipigwa biti moja tu na Marekani biashara ikaishia hapo.
Marekani ni taifa linalo-lobby agenda na interests zao kupitia misaada kwa hiyo misaada sio bure.
Hiyo ni CIVICS ya Class 6 mkuu
Rubbish,huna mamlaka hayo.Marufuku kuitolea Ifakara mifano ya kijinga.
Unataka kusema wakitunyima misaada tuwafungulie mashitaka?
WAnatoa Vingi tu, ukikariri msaada ni Vyandarua na dawa za ukimwi huwezi elewa wanachotoa hao.Hao Urusi na China wapo siku zote.Wanatoa nini vya maana?Au China wanavyoleta meli kubwa kutibu watu macho yafunguke wauone uchumi wa nchi zao?Urusi naye uchumi unadidimia kama tembo kwenye tope kali.
Na wameamua kusitisha pia maana wanaona watu pesa wanakula kotekote.....kama kwa Afrika sahivi ikija pesa ya mchina wanakula , ya mmarekani wanakula ikitoka ulaya pia wanakula ....shida inakuja kuna nchi wanakula pesa zao ila zile agenda zao wanazuga tu kama wanazifanyia kazi ila kama geresha tu.......hio njia kwa sasa wamagharibi wameona haina impact kama ilivyokua zamani hasa kwa huku AfricaHapana lakini wasituambie cha kufanya.
Misaasa ilikuwa transactional. Unanipa pesa nakuacha upitishe agenda. Haikuwa bure.
Kwa hiyo kama imeondoka, Marekani isianze kutegemea Kizimkazi aende kuwanyenyekea
Trump anataka Fedha za Wananchi wa Marekani zitumike kwa ajili ya manufaa ya waMarekani wenyewe. Katika muktadha huu, Wananchi wa kutoka nchi zingine waliokuwa wakiitegemea Marekani waache kufanya hivyo na waanze kujitegemea wao wenyewe.Hivi do you really think kwamba Marekani hata huyo Trump mwenyewe anataka tujitegemee?
Ni wapi Trump amesema amekata misaada ili TUJITEGEMEE? Umesoma bandiko la Marco Rubio akielezea hili suala?
Soma tena nilichoandika. Yaani umetoka nje ya mada kabisa
Marekani haipati vitu toka Tanzania kama msaada, wananunua.Angalia ni nchi gani zinazoongoza kupokea misaada kutoka Marekani. Tanzania hatupo hata kwenye top 10 duniani.
Hakuna nchi inayoweza KUJITEGEMEA.
Marekani kuna vitu inapata kutoka kwetu and vice versa.
Israel, Egypt, Taiwan na South Korea zote zinapokea misaada kutoka Marekani.
Jielimishe kabla hujatukana watu
Wanatoa wataalamu bure bila malipo kwao?Hizo barabara hujengwa bure?WAnatoa Vingi tu, ukikariri msaada ni Vyandarua na dawa za ukimwi huwezi elewa wanachotoa hao.
Wamesomesha maelfu ya wataalam wetu, wanasayansi wengi wakubwa na mainjinia nchi hii wamesoma Urusi, wamejenga reli, barabara na miundombinu mingi ambayo ni crucial.
Inshort kama unataka kuendelea Urusi na China ni Allies wazuri kuliko west,
Trump anataka Fedha za Wananchi wa Marekani zitumike kwa ajili ya manufaa ya waMarekani wenyewe. Katika muktadha huu, Wananchi wa kutoka nchi zingine waliokuwa wakiitegemea Marekani waache kufanya hivyo na waanze kujitegemea wao wenyewe.
Ungetueleza hivyo "vituo vya kijeshi" vya USA nani anavitunza na kutoa fedha kuendesha shughuli zao?Which of course its impossible.
How many military bases does America hava around the world? Who funds them?
Au kwako misaada ni sabuni za unga na vyandarua?
Kwahiyo we unataka Kodi ya raia wa marekani anayeteseka Kwa kazi uje upewe wewe si ndio yaani kazi Yako wewe iwe kula tu wenzio wabebe mabox huko walipe Kodi halafu uletewe weweHivi do you really think kwamba Marekani hata huyo Trump mwenyewe anataka tujitegemee?
Ni wapi Trump amesema amekata misaada ili TUJITEGEMEE? Umesoma bandiko la Marco Rubio akielezea hili suala?
Soma tena nilichoandika. Yaani umetoka nje ya mada kabisa
Anafukuza wahamiaji haramu. Elewa tofauti.Naona kama ni kweli sera za Trump zinakwenda kuimaliza marekani kiuchumi miaka ijayo.
Mfano hii sera ya kuondoa wahamiaji.
Marekani imekuwa ikijengwa na wageni kwa miongo kadhaa.
Wanaita American dream. Hiyo imefanya wahamiaji wengi wakifika huko kujituma hivyo kuifanya marekani kuwa na nguvu.
Wakazi wa asili ni wahindi wekundu tu ila wengine wote ni wahamiaji.
Sasa anavyowafukuza hao wahamiaji analegeza uti wa mgongo wa uchumi wao.
Ana mashabiki wale wavivu wa kufanya kazi ila madhara ya kuwaondoa wahamiaji ni makubwa kiuchumi.
Ipo hatari ya baadhi ya mitaa kubakia mitupu.