Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Nini ukae na bakuli omba omba tu ? Simama imara , chapa kazi kizalendo, ufisadi ni kosa la uhani, uongozi bora . Afrika ni tajiriKuna maamuzi ambayo bwana Trump anafanya anakuwa kama kachanganyikiwa na haelewi Geopolitics zilivyo.
Kwanini nasema hivyo?
Hivi karibuni katangaza Marekani kusitisha misaada kwenye nchi zote duniani isipokuwa Israel na Egypt.
Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu atajua kwamba, the only reason Marekani inaheshimika duniani ni kwa sababu ya PESA NA MISAADA inazotoa duniani kote.
Hata hapa nchini kwetu, viongozi wakubwa wanaiheshimu Marekani because wanajua kabisa waki-mess up, misaada itakatwa na kuna miradi ya kimaendeleo itakwama.
Anapojitokeza mtu kama Trump anatishia kuondoa misaada maana yake hapo ni kwamba anataka AUE influence ya Marekani nchini Tanzania na Afrika kwa ujumla
Yaani kama hutupi misaada, hutoi senti tano kwenye miradi yetu ya maendeleo, kwanini tukusikilize?
Unapata wapi nguvu za kuniambia Uchaguzi wenu hauko sawa wakati hata senti 5 ya bajeti yetu hujatuchangia?
Hicho ndo kitu Trump anashindwa kuelewa
Misaada ni form of soft power na njia ya Marekani kupitisha agenda zake.
Trump akiendelea na sera yake hii, ataua kabisa significance ya Marekani Afrika meanwhile Uchina na Urusi wakiwa busy kusaka influence yetu.
Tukumbuke tu kuwa mwezi Septemba Xi Jinping ametangaza kwamba Uchina itatoa 51 Billion dollars kwa Afrika ndani ya miaka 3. Putin kwa upande wake mwaka 2023 alifuta 23 Billion USD ya madeni kwa Afrika na akatoa Milioni 90 USD kama misaada kwa Afrika.
Mlio karibu na Trump mwambieni, Marekani ikiendelea na sera hii, wasishangae in 20 years to come, hakuna hata tamko moja watakalolitoa Waafrika tutalisikiza
Afrika yote itakuwa imeikumbatia Urusi na kuongea lugha ya Kichina.
Acha wakalie ngonjera. Acha wajiaibishe mtu anakupa msaada kaamua kuacha kukupa msaada ambao sio haki yako unaanza kuleta umbea wa kitotoHuu ujinga kwamba toothpick ni big deal aliuanzisha nani ?
Nchi imejaa viwanda kibao vinavyotengeneza muhimu, nyie mnakuja na comedy zenu za toothpick
Huwelewi hata unacho kiongea,niambie ni msaada gani ambao S.korea inaupokea kutoka Marekani?Angalia ni nchi gani zinazoongoza kupokea misaada kutoka Marekani. Tanzania hatupo hata kwenye top 10 duniani.
Hakuna nchi inayoweza KUJITEGEMEA.
Marekani kuna vitu inapata kutoka kwetu and vice versa.
Israel, Egypt, Taiwan na South Korea zote zinapokea misaada kutoka Marekani.
Jielimishe kabla hujatukana watu
Hujanielewa.Anafukuza wahamiaji haramu. Elewa tofauti.
Nahisi hata mama alishausoma huu upepo,kuna kipindi nilimuona China,hii ilikuwa idea nzuri sana.Nchi za maghatibi kwenye vita ya Ukraine na iIsrael zimeumia sana kiuchumi,sasa katika kutapatapa ndio zinakuja na hii idea ya kupunguza misaada...Ni wakati wa kujifunza kusimama wenyewe kama nchi.Kuwa na uhakika wa kupewa misaada kunapelekea kutokuwepo na nidhamu ya fedha huko serikalini
Wacha kuwa ombaomba, utatawaliwa maisha yako mpaka wajukuu zako.Kuna maamuzi ambayo bwana Trump anafanya anakuwa kama kachanganyikiwa na haelewi Geopolitics zilivyo.
Kwanini nasema hivyo?
Hivi karibuni katangaza Marekani kusitisha misaada kwenye nchi zote duniani isipokuwa Israel na Egypt.
Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu atajua kwamba, the only reason Marekani inaheshimika duniani ni kwa sababu ya PESA NA MISAADA inazotoa duniani kote.
Hata hapa nchini kwetu, viongozi wakubwa wanaiheshimu Marekani because wanajua kabisa waki-mess up, misaada itakatwa na kuna miradi ya kimaendeleo itakwama.
Anapojitokeza mtu kama Trump anatishia kuondoa misaada maana yake hapo ni kwamba anataka AUE influence ya Marekani nchini Tanzania na Afrika kwa ujumla
Yaani kama hutupi misaada, hutoi senti tano kwenye miradi yetu ya maendeleo, kwanini tukusikilize?
Unapata wapi nguvu za kuniambia Uchaguzi wenu hauko sawa wakati hata senti 5 ya bajeti yetu hujatuchangia?
Hicho ndo kitu Trump anashindwa kuelewa
Misaada ni form of soft power na njia ya Marekani kupitisha agenda zake.
Trump akiendelea na sera yake hii, ataua kabisa significance ya Marekani Afrika meanwhile Uchina na Urusi wakiwa busy kusaka influence yetu.
Tukumbuke tu kuwa mwezi Septemba Xi Jinping ametangaza kwamba Uchina itatoa 51 Billion dollars kwa Afrika ndani ya miaka 3. Putin kwa upande wake mwaka 2023 alifuta 23 Billion USD ya madeni kwa Afrika na akatoa Milioni 90 USD kama misaada kwa Afrika.
Mlio karibu na Trump mwambieni, Marekani ikiendelea na sera hii, wasishangae in 20 years to come, hakuna hata tamko moja watakalolitoa Waafrika tutalisikiza
Afrika yote itakuwa imeikumbatia Urusi na kuongea lugha ya Kichina.
Fresh tu kwani lazima misaada.Kuna maamuzi ambayo bwana Trump anafanya anakuwa kama kachanganyikiwa na haelewi Geopolitics zilivyo.

Hiyo Marekani ikipoteza influence yake itajijua yenyewe ni wakati wa sisi kujitegemea. Hata hivyo siyo rahisi kwa Marekani kupoteza influence yake duniani kumbuka yeye ndo mfadhili mkubwa wa IMF, World Bank na UN.Kuna maamuzi ambayo bwana Trump anafanya anakuwa kama kachanganyikiwa na haelewi Geopolitics zilivyo.
Kwanini nasema hivyo?
Hivi karibuni katangaza Marekani kusitisha misaada kwenye nchi zote duniani isipokuwa Israel na Egypt.
Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu atajua kwamba, the only reason Marekani inaheshimika duniani ni kwa sababu ya PESA NA MISAADA inazotoa duniani kote.
Hata hapa nchini kwetu, viongozi wakubwa wanaiheshimu Marekani because wanajua kabisa waki-mess up, misaada itakatwa na kuna miradi ya kimaendeleo itakwama.
Anapojitokeza mtu kama Trump anatishia kuondoa misaada maana yake hapo ni kwamba anataka AUE influence ya Marekani nchini Tanzania na Afrika kwa ujumla
Yaani kama hutupi misaada, hutoi senti tano kwenye miradi yetu ya maendeleo, kwanini tukusikilize?
Unapata wapi nguvu za kuniambia Uchaguzi wenu hauko sawa wakati hata senti 5 ya bajeti yetu hujatuchangia?
Hicho ndo kitu Trump anashindwa kuelewa
Misaada ni form of soft power na njia ya Marekani kupitisha agenda zake.
Trump akiendelea na sera yake hii, ataua kabisa significance ya Marekani Afrika meanwhile Uchina na Urusi wakiwa busy kusaka influence yetu.
Tukumbuke tu kuwa mwezi Septemba Xi Jinping ametangaza kwamba Uchina itatoa 51 Billion dollars kwa Afrika ndani ya miaka 3. Putin kwa upande wake mwaka 2023 alifuta 23 Billion USD ya madeni kwa Afrika na akatoa Milioni 90 USD kama misaada kwa Afrika.
Mlio karibu na Trump mwambieni, Marekani ikiendelea na sera hii, wasishangae in 20 years to come, hakuna hata tamko moja watakalolitoa Waafrika tutalisikiza
Afrika yote itakuwa imeikumbatia Urusi na kuongea lugha ya Kichina.
Acha kuwapangia watu maisha. Wachina ndio wanatuibia fedha nyingi kila siku na tenda wanazopata kwa hongo na kuishia kujenga barabara zisizo na viwango.Sasa utajiri wake sisi unatuhusu nini?
Unahisi amechaguliwa kwa sababu ya utajiri?
Scholarship ndio, hata miundombinu ipo ya kukopeshwa na misaada.Wanatoa wataalamu bure bila malipo kwao?Hizo barabara hujengwa bure?
🤣🤣🤣 Wanasemaga ni nchi inayo ongozwa Kwa mifumo ya kisheria wakati Tunaona trump now anaiongoza nchi Kwa matamkoWamarekani weusi wa Ifakara na Tandahimba si kila siku hua wanasema humu kua US inaendeshwa na mfumo na sio Rais?
Trump kaingia tu kaifungulia Tik tok,kakata misaada,anataka kukata Birthright citizenship,na mabadiliko kibao.
Yaani badala ya kuwaza kujitegemea, tunashupaza shingo kulalamikia misaada!!! Rasilimali za kutosha kabisa tunazo! Viongozi wakiwa waadilifu tunaweza kujitegemea! Fikiria, idadi ya viongozi wanaotumia magari ya thamani kubwa, wangekuwa na magari ya kawaida hiyo hela si ingeboresha huduma za jamii? Piga picha anakujia mtu nadhifu kabisa, kavaa suti ya bei ghali, halafu akwambie ana njaa anaomba umsaide hela ya kula! Utamuonaje mtu huyo?Kuna maamuzi ambayo bwana Trump anafanya anakuwa kama kachanganyikiwa na haelewi Geopolitics zilivyo.
Kwanini nasema hivyo?
Hivi karibuni katangaza Marekani kusitisha misaada kwenye nchi zote duniani isipokuwa Israel na Egypt.
Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu atajua kwamba, the only reason Marekani inaheshimika duniani ni kwa sababu ya PESA NA MISAADA inazotoa duniani kote.
Hata hapa nchini kwetu, viongozi wakubwa wanaiheshimu Marekani because wanajua kabisa waki-mess up, misaada itakatwa na kuna miradi ya kimaendeleo itakwama.
Anapojitokeza mtu kama Trump anatishia kuondoa misaada maana yake hapo ni kwamba anataka AUE influence ya Marekani nchini Tanzania na Afrika kwa ujumla
Yaani kama hutupi misaada, hutoi senti tano kwenye miradi yetu ya maendeleo, kwanini tukusikilize?
Unapata wapi nguvu za kuniambia Uchaguzi wenu hauko sawa wakati hata senti 5 ya bajeti yetu hujatuchangia?
Hicho ndo kitu Trump anashindwa kuelewa
Misaada ni form of soft power na njia ya Marekani kupitisha agenda zake.
Trump akiendelea na sera yake hii, ataua kabisa significance ya Marekani Afrika meanwhile Uchina na Urusi wakiwa busy kusaka influence yetu.
Tukumbuke tu kuwa mwezi Septemba Xi Jinping ametangaza kwamba Uchina itatoa 51 Billion dollars kwa Afrika ndani ya miaka 3. Putin kwa upande wake mwaka 2023 alifuta 23 Billion USD ya madeni kwa Afrika na akatoa Milioni 90 USD kama misaada kwa Afrika.
Mlio karibu na Trump mwambieni, Marekani ikiendelea na sera hii, wasishangae in 20 years to come, hakuna hata tamko moja watakalolitoa Waafrika tutalisikiza
Afrika yote itakuwa imeikumbatia Urusi na kuongea lugha ya Kichina.
Hivi ni kweli marekani amesitisha misaada kwa Afrika hii ?Kinachoendelea mpaka sasa duniani ni uhalisia wa msemo wa wabongo "KICHAA KAPEWA LUNGU"
Yaani ni kumechangamka mnooo.