Ndani ya siku mbili, kutatoka taarifa ambayo itawafanya CHAUMMA, Kulia na kusaga meno

Hatimaye
 
Attachments

  • FB_IMG_1750867250784.jpg
    FB_IMG_1750867250784.jpg
    240 KB · Views: 25
Ndani ya siku mbili kuanzia Sasa, taifa litaongea lugha tofauti, Kuna jambo litatokea ambalo Kwa ustawi wa CHAUMA itakuwa ni kilio na kusaga meno.

Usaliti ni mbaya, haraka haraka Haina baraka.

Stay tuned.

Mto wa Mbu
Illinois -USA.
Sawa.
Uchaguzi unasogezwa mpaka February 2026.
Wabunge wataendelea kula pesa mpk wakati huo na ndio hao hao watakaa kutengeneza Reforms.
 
Ndani ya siku mbili kuanzia Sasa, taifa litaongea lugha tofauti, Kuna jambo litatokea ambalo Kwa ustawi wa CHAUMA itakuwa ni kilio na kusaga meno.

Usaliti ni mbaya, haraka haraka Haina baraka.

Stay tuned.

Mto wa Mbu
Illinois -USA.
Hebu unapotoa taarifa kama hii weka hata picha ya mkutano mkubwa kabisa wa Mwanza ili wanancgi waone jinsi chama kinavyokubalika
 
Ndani ya siku mbili kuanzia Sasa, taifa litaongea lugha tofauti, Kuna jambo litatokea ambalo Kwa ustawi wa CHAUMA itakuwa ni kilio na kusaga meno.

Usaliti ni mbaya, haraka haraka Haina baraka.

Stay tuned.

Mto wa Mbu
Illinois -USA.
Chauma kilisha feli hata pasipo tokea icho unacho sema.
 
Ndani ya siku mbili kuanzia Sasa, taifa litaongea lugha tofauti, Kuna jambo litatokea ambalo Kwa ustawi wa CHAUMA itakuwa ni kilio na kusaga meno.

Usaliti ni mbaya, haraka haraka Haina baraka.

Stay tuned.

Mto wa Mbu
Illinois -USA.
Na wewe umeota? Huu ni unabii? Au ni taarifa ya kutoka ndani kabisa?
 
Back
Top Bottom