Na ni akina Mrema Hawa hakuna mwingine anaweza fanya upumbavu huustupid fake news, stupid!
Eti Rungwe, Dovutwa,Lyemba ndo contender wa CCM😁Sidhani kama CCM Wana huyo moyo. Wataendelea na uchaguzi tu. Halafu CHAUMMA ilishakufa zamani Sana. Tangu ule Mkutano wao wa Mwanza ni kama walikata tamaa.
Wapinzani Kwa wapinzani mnaombeana mabayaNdani ya siku mbili kuanzia Sasa, taifa litaongea lugha tofauti, Kuna jambo litatokea ambalo Kwa ustawi wa CHAUMA itakuwa ni kilio na kusaga meno.
Usaliti ni mbaya, haraka haraka Haina baraka.
Stay tuned.
Mto wa Mbu
Illinois -USA.
Ushasogezwa till next year.CCM hawasogezi uchaguzi
Kina Mrema walimchapa visungurq akalewaHivi zilisikika taarifa Rungwe anaumwa!!amepona!!?
Au kulikoni!!?
Nani nkasema mbona sioni public statementUshasogezwa till next year.
Mnatishia kujmba kumbe mnharsha. Si mnataka kususa...suseni sasa.Ndani ya siku mbili kuanzia Sasa, taifa litaongea lugha tofauti, Kuna jambo litatokea ambalo Kwa ustawi wa CHAUMA itakuwa ni kilio na kusaga meno.
Usaliti ni mbaya, haraka haraka Haina baraka.
Stay tuned.
Mto wa Mbu
Illinois -USA.
Ata CCM wanawabea mabaya ChademaWapinzani Kwa wapinzani mnaombeana mabaya
Bado yupo hospital!!?au ametoka!!?Kina Mrema walimchapa visungurq akalewa
Fake.Hatimaye
Halafu nyie watu mlio mataifa makubwa makubwa kama Russia, America na kwiningineko Huwa mnatoa taarifa za ndani sana !mnaleta taharuki sana!!Ndani ya siku mbili kuanzia Sasa, taifa litaongea lugha tofauti, Kuna jambo litatokea ambalo Kwa ustawi wa CHAUMA itakuwa ni kilio na kusaga meno.
Usaliti ni mbaya, haraka haraka Haina baraka.
Stay tuned.
Mto wa Mbu
Illinois -USA.
Punguza bangi huko ulipo, we ndio wale Trump anawatafuta mrudi kwenu.Ndani ya siku mbili kuanzia Sasa, taifa litaongea lugha tofauti, Kuna jambo litatokea ambalo Kwa ustawi wa CHAUMA itakuwa ni kilio na kusaga meno.
Usaliti ni mbaya, haraka haraka Haina baraka.
Stay tuned.
Mto wa Mbu
Illinois -USA.
UongoHatimaye
Sina mbavu mie msinichekesheHebu unapotoa taarifa kama hii weka hata picha ya mkutano mkubwa kabisa wa Mwanza ili wanancgi waone jinsi chama kinavyokubalika
Toka lini CHAUMA imefungiwaWatashirikije wakati chama kimefungiwa na mahakama