Ndani ya siku mbili, kutatoka taarifa ambayo itawafanya CHAUMMA, Kulia na kusaga meno

Ndani ya siku mbili, kutatoka taarifa ambayo itawafanya CHAUMMA, Kulia na kusaga meno

Mimi nasubiri kwa hamu sanaaa ndugu yanguu ,na ikiwa kwelii nitafurahii sana

Mimi na watoto wangu na mke wanguu .
Tutaka kwenda nchi ya.mbali kushangalia na kufurahii.

Naipenda nchi yangu sana

Uhuni wowotee na usaliti wa tamaa na unyonyaji wowote Mungu ninayemuomba atajibuu na hata mzee wa Machamee lazima atajibiwaa.

Kesi za lissu Mungu anaenda kujibu majibu ambayo wote tutastaajabuu.
Amina mkuu
 
Back
Top Bottom