Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Sawa.Ndani ya siku mbili kuanzia Sasa, taifa litaongea lugha tofauti, Kuna jambo litatokea ambalo Kwa ustawi wa CHAUMA itakuwa ni kilio na kusaga meno.
Usaliti ni mbaya, haraka haraka Haina baraka.
Stay tuned.
Mto wa Mbu
Illinois -USA.
Hebu unapotoa taarifa kama hii weka hata picha ya mkutano mkubwa kabisa wa Mwanza ili wanancgi waone jinsi chama kinavyokubalikaNdani ya siku mbili kuanzia Sasa, taifa litaongea lugha tofauti, Kuna jambo litatokea ambalo Kwa ustawi wa CHAUMA itakuwa ni kilio na kusaga meno.
Usaliti ni mbaya, haraka haraka Haina baraka.
Stay tuned.
Mto wa Mbu
Illinois -USA.
stupid fake news, stupid!Hatimaye
Tulieni maziri yajaSema kidogo hata kwa kinyume nyume, tonge kavu sana hili.
Vipi tenastupid fake news, stupid!
CCM hawasogezi uchaguziSawa.
Uchaguzi unasogezwa mpaka February 2026.
Wabunge wataendelea kula pesa mpk wakati huo na ndio hao hao watakaa kutengeneza Reforms.
😁😁😁Eti kina Mrema ndo strong contender wa Samia kwenye uchaguziHebu unapotoa taarifa kama hii weka hata picha ya mkutano mkubwa kabisa wa Mwanza ili wanancgi waone jinsi chama kinavyokubalika
Brenda amekanusha, hivyo that is stupid fake news! (siyo wewe mleta mada, hapana yule aliyeandika)Vipi tena
Chauma kilisha feli hata pasipo tokea icho unacho sema.Ndani ya siku mbili kuanzia Sasa, taifa litaongea lugha tofauti, Kuna jambo litatokea ambalo Kwa ustawi wa CHAUMA itakuwa ni kilio na kusaga meno.
Usaliti ni mbaya, haraka haraka Haina baraka.
Stay tuned.
Mto wa Mbu
Illinois -USA.
Usicheze na mfadhili anaweza kukuvua Ushungi katikati ya sherehe!!CCM hawasogezi uchaguzi
Sema suuUsicheze na mfadhili anaweza kukuvua Ushungi katikati ya sherehe!!
Bisheni muone
Na wewe umeota? Huu ni unabii? Au ni taarifa ya kutoka ndani kabisa?Ndani ya siku mbili kuanzia Sasa, taifa litaongea lugha tofauti, Kuna jambo litatokea ambalo Kwa ustawi wa CHAUMA itakuwa ni kilio na kusaga meno.
Usaliti ni mbaya, haraka haraka Haina baraka.
Stay tuned.
Mto wa Mbu
Illinois -USA.
CoolNa wewe umeota? Huu ni unabii? Au ni taarifa ya kutoka ndani kabisa?