Ndani ya Unabii 2025, Siasa, Tanzania, Afrika Mashariki na Dunia nzima

Ndani ya Unabii 2025, Siasa, Tanzania, Afrika Mashariki na Dunia nzima

Dr John Karithi

New Member
Joined
Dec 21, 2024
Posts
2
Reaction score
0
Heri ya mwaka mpya! Mnapongezwa tena kwa kazi yenu njema ya kufahamisha na kuelimisha kote duniani. Ujumbe unaofuata (umewasilishwa kama shairi lenye unabii wa mambo yanayoenda kutokea 2025). Ujumbe unaweza kuchapishwa n.k. Shukrani.

NDANI YA ROHO WA UNABII 2025! Kenya +254729011324, Tanzania +255758295490
Pen Name : Dkt John Karithi
Legal Name:
Bishop Prof. Karithi John M'etirikia
2025 NDANI YA ROHO WA UNABII

( Dkt John Karithi, 1.1.2025 Ndani ya Roho wa unabii, _USIKIVU WA KINABII)
1
.
Sikia nakuambia, ewe mwanangu mzima,
Sikiza walokwambia, upone uwe mzima,
Mwaka huu wachomoa, Mengi waliyokunyima,
Mwaka ulipoishia, yupo Roho wa unabii!
( Dkt John Karithi , 1.1.2025 Ndani ya Roho wa unabii, _MAELEKEZO YA KINABII)
2
.
Mwaka ulipoishia, kisha na ma'na nasema,
Sio tu kukuambia, ule unywe na uzima,
Mfukoni nitatia, hizo hela nitatuma,
Deni unalolilia, sio la Roho wa MUNGU!
( Dkt John Karithi, 1.1.2025 Ndani ya Roho wa unabii, MTU BINAFSI KINABII )
3 .
Pita pita ukilia, wajue we' si mzima,
Sio huko unakaa, watakuja kukutuma,
Wataita na mvua, ikose wale vya umma,
Ndipo nawatabiria, kwa Roho wa unabii!
( Dkt John Karithi , 1.1.2025 Ndani ya Roho wa unabii, UCHUMI WA KENYA KINABII )
4 .
Kipo kilio cha Jua, kuwa kali nawatuma,
Msile vyote najua, vipo vya wasiochuma,
Wale was'ojichumia, wajane na mayatima,
Roho wa MUNGU najua, ndimi Roho wa unabii!
( Dkt John Karithi, 1.1.2025 Ndani ya Roho wa unabii, ULIMWENGUNI LEO )
5 .
Mataifa yatajua, kuwa vita vitakwama,
Israeli 'tajua, adui yupo kakwama,
Wapigane kwa kifua, nchi nyingi zitakwama,
Itateseka dunia, bila Roho wa unabii!
( Dkt John Karithi, 1.1.2025 Ndani ya Roho wa unabii, UMOJA WA MATAIFA )
6 .
"Miye ninawatumia, miradi yao yakwama,
Silaha sitaishia," Marekani itasema,
"Kusuluhisha najua," mataifa yatasema,
Na wote watakosea, aje Roho wa unabii!
( Dkt John Karithi, 1.1.2025 Ndani ya Roho wa unabii, URAISI WA KENYA_ )
7 .
"Sitaishi kuwania, Uraisi nchi nzima,
Makabiliano pia, sio njia ya uzima,
Nitakufa nikiua, wote wakiniandama"
Raisi huyo ajua, ni kwa Roho wa unabii!
( Dkt John Karithi 1.1.2025, Ndani ya Roho wa unabii, _SIÀSA NA UCHAGUZI TANZANIA
8
.
"Sipingi kesi najua, ICC ipo wima,
Kuleta kesi kifua, kikiwa nje lawama,
Inabidi nife njaa, uchumi uwe wa mama"
Raisi huyo ajua, pia Roho wa unabii!
By Bishop Prof. Karithi John M'etirikia, NBICGC DMTU GLOBAL ( AWARDS & THEOLOGICAL EDUCATION!) !* Kenya +254729011324
Tanzania+255758295490
 
Back
Top Bottom