Ndani ya vyama vya kijamii kuna wenyewe sio uenyekiti wako au ukubwa wako utakaokupa nguvu ya usaliti

Ndani ya vyama vya kijamii kuna wenyewe sio uenyekiti wako au ukubwa wako utakaokupa nguvu ya usaliti

Kichwamoto

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2019
Posts
3,403
Reaction score
4,692
Hello Bazzukulu,

Kwenye jamii zetu kuna vyama vingi vya kijamii huanzishwa na watu kwa malengo ya kudumu.

Ni vema ifahamike ukipewa nafasi ya uenyekiti au urais wa chama hicho cha kijamii tambua wenyewe wapo na usithubutu kupindisha malengo yako, hasa nyakati za kupewa dhamana kipindi cha mpito huku wenyewe wakiwa wameshaandaa watu wao.

Usijiharibie ukipewa dhamana ya mpito zingatia fanya kazi jiandae kuondoka muda ukifika.

Tuwe makini sana hasa kwenye uongozi wa hivi vyama vya kijamii.

Ni hayo tu.
 
Back
Top Bottom