Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Wanajipindua wenyewe kwa ujinga wao🤸🤸wamepinduliwa au wanajiuzulu ? huko kwenu nasikia andunje kawa mungu mtu anaamua nan afe na nan asife [emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanajipindua wenyewe kwa ujinga wao🤸🤸wamepinduliwa au wanajiuzulu ? huko kwenu nasikia andunje kawa mungu mtu anaamua nan afe na nan asife [emoji23][emoji23]
Nagongelea msumali tu,umemaliza mkuu.Russia wana rais wa maisha hawana tofauti na North Korea, Equatorial Guinea, Uganda, Eritrea au Rwanda ni nchi moja ya hovyo sana.
Uingereza ni nchi kongwe ya kidemokrasia na wanafahamu kwamba uongozi ni dhamana tu lakini hayo mataifa yenu bado ni akina Mangungo na Kimweri wa leo.