Russia wana rais wa maisha hawana tofauti na North Korea, Equatorial Guinea, Uganda, Eritrea au Rwanda ni nchi moja ya hovyo sana.
Uingereza ni nchi kongwe ya kidemokrasia na wanafahamu kwamba uongozi ni dhamana tu lakini hayo mataifa yenu bado ni akina Mangungo na Kimweri wa leo.