Ndani ya wodi.. Hospital ya Apollo India

Akirejea nchini tunaomba aunde Chama cha Matapeli waliokubuhu na wa Kimataifa Tanzania halafu ajichague mwenyewe kuwa Rais wa mpito.
[emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
 
Angejitokeza aweke mambo sawa ukimya wake utatafsiriwa kuwa hili tukio ni kweli katengeneza
 
Analeta usanii hadi kwenye ugonjwa?
Naanza kuona picha nzima ya mateso hadi kifo kwa Sajuki yalikuwa yanasababishwa na huyu dada.
Sindano za drip haziwezi elekea upande huo...ndo mana wanamwita "mama cannula"
 
Apollo ya wapi mkuu? Maana ziko nyingi. Chennai au New Delhi?
 
kama ni tapeli basi tapeli haswa,kamtapeli hadi mzee baba mshamba wa magogoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Basi aje hata ndugu ay jamaa yake adhibitishe haya kwa vielelezo toka hospital , alafu pia tuone treatment ya mguu inavyoendelea , sio kutukuonyesha mikoni wakati mguu ndio unatatizo
 
Usd 9000 =tsh 20,250,000.

Hii hela hata ukiitoa hospitali zetu utatibiwa kifalme
 
Mshana hajasrma yupo Apollo jamani.. mnamuonea

Yupo Pakistani kwa location aliyoweka Instagram kwa picha.
 
Akirejea nchini tunaomba aunde Chama cha Matapeli waliokubuhu Tanzania halafu ajichague mwenyewe kuwa Rais wa mpito.

Hivi kwanini haswa mnamuita tapeli? Kwa picha au? Mnajua walipataje pa kuingizia maana inadumbukia yote ndani na kubaki kidude cha juu na ndio wanazungushia. Kabati hilo pembeno ni kawaida kwenye wodi sema zinatofautiana.. nielezeni na mshana jr

Hiyo S ni sawa alipotupa info kuwa yupo Pakistani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…