peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Alijuaje inaenda service na inapita huko?Justification ni kwamba ilikuwa inaenda service, na ikatua Netherlands kwa ajili ya kuongeza wese, lakini ikashindwa kuondoka kwa wakati mdeni akaiotea
Hizi akili za kushikiwa hizi! Mnatabu sanaWaliipeleka makusudi ili ikamatwe, kila kitu kimepangwa, hata Tanesco inauzwa pia ndio maana wanakata umeme na maji ili wahalishe.
Walianzia mbali, kwanza walisema Mashirika yalikuwa yanadanganya gawio kwa Serikali halafu wakaja kusema Serikali haitafanya biashara hivyo wameanza kujibinafsisha mali zetu za umma.
Pure evil!
Nani hapendi shekeli?Alijuaje inaenda service na inapita huko?
Toka January! Wakaja kushtakiwa April.. Kuna miezi 3 katikatiJustification ni kwamba ilikuwa inaenda service, na ikatua Netherlands kwa ajili ya kuongeza wese, lakini ikashindwa kuondoka kwa wakati mdeni akaiotea
Watakuwa wamemtonya wapambe!Nani hapendi shekeli?
Kampuni feki kama Richmond inatokea USA inakuja kuchukua uwekezaji kumbe Ni watt wa mjini Mana wachunga ng'ombe hatuwezi jua. Kama Mauritius inavyosajili kampuni na Seychelles bila complication.Waliipeleka makusudi ili ikamatwe, kila kitu kimepangwa, hata Tanesco inauzwa pia ndio maana wanakata umeme na maji ili wahalishe.
Walianzia mbali, kwanza walisema Mashirika yalikuwa yanadanganya gawio kwa Serikali halafu wakaja kusema Serikali haitafanya biashara hivyo wameanza kujibinafsisha mali zetu za umma.
Pure evil!