Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Nimejifunza hii kauli yako ndo brainwash inayotumika kutetea mafisadiTunapenda sana ccm ikae pembeni lakini sasa mvadala wake uko wapi?
Maama wapinzani wote sasa wako kwenye payroll hata hawasikiki