Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Acha kujivua nguo hadharani; deni na fidia no vitu viwili tofautiKwa uelewa wako unadhani kuwa mi sielewi maana ya deni!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kujivua nguo hadharani; deni na fidia no vitu viwili tofautiKwa uelewa wako unadhani kuwa mi sielewi maana ya deni!?
MOU lini ukawa mkataba; hivi kumbe vilaza mko wengi nchi hii😱Issue ni Engine... na manufacturer anaweza kuwa na vituo nchi mbalimbali. Swala hapa ni upumbavu wa kuvunja mikataba hovyohovyo. Hawana gharama hawa.
Kama hii yako ni akili kubwa,basi akili kubwa zimeisha dunianiPale akili ndogo inspotaka kujibu vitu vikubwa
Hivi ilienda bila Abiria huko ?Justification ni kwamba ilikuwa inaenda service, na ikatua Netherlands kwa ajili ya kuongeza wese, lakini ikashindwa kuondoka kwa wakati mdeni akaiotea.
Jibu swali rahisi tu hiloShirikiana na ubongo wako vizuri.
Unalunga Isha je teckno na ndege kama sio uzwazwaKama hii yako ni akili kubwa,basi akili kubwa zimeisha duniani
Ni kampuni changa iliyoundwa haraka haraka na haikuwa na uzoefu wala fedha lakini ilipewa tenda mpaka ikawa tena inatoa tenda kwa makampuni mengine. Huu ni ufisadi mkubwa na hata kazi za kampuni hii hazikuwa nzuri.Hiyo kampuni ilifanya kazi haikufanya? Kama una wato alafu wanasoma hii coment yako sijui wanakuchukulia je?
Hizo info sio Antipas alivujisha kweli? Yaani Hana uzalendo kabisa!Justification ni kwamba ilikuwa inaenda service, na ikatua Netherlands kwa ajili ya kuongeza wese, lakini ikashindwa kuondoka kwa wakati mdeni akaiotea.
Ona sasa unavyojichanganya kwa hiyo kwako wewe ni sahihi tiss kuchukua watu wake wasio wa shughuli pevu au waliozeeka na kuwapeleka kuharibu siasa au kufanya uovu kisha wao wanakaa pembeni kimya huku taasisi hii ikipoteza heshima yake. Ama kweli wewe u mtupu kichwani na hoja hii Ndiyo imekudhihirisha ujinga wako.Ukiona TISS kaletwa kwenye siasa ni aidha huyo siyo mtu wa shughuli pevu au kazeeka,watu wa shughuli pevu hata majina wanauojulikana mtaani siyo yao na Wala hutowasikia Wala kuwaona
Nchi haiwezi kuachwa iende Kama ng'ombe,hakuna nchi ya hivyo,hao wanasiasa wako waliokutuma,2008 walimnanga lowasa fisadi,2015 wakampa tiketi agombee kwa chama chao kisa 12b,hatuwezi kuwaachia wafanyabiashara ya siasa washike hatamuOna sasa unavyojichanganya kwa hiyo kwako wewe ni sahihi tiss kuchukua watu wake wasio wa shughuli pevu au waliozeeka na kuwapeleka kuharibu siasa au kufanya uovu kisha wao wanakaa pembeni kimya huku taasisi hii ikipoteza heshima yake. Ama kweli wewe u mtupu kichwani na hoja hii Ndiyo imekudhihirisha ujinga wako.
Kwani hiyo fidia ndo huwezi kudaiwa!? Deni ni nini na fidia ni nini usipoilipa kwa wakati!?Acha kujivua nguo hadharani; deni na fidia no vitu viwili tofauti
Type mfano wa Moja ya kaxi ambayo haikuwa nzuri mkuuNi kampuni changa iliyoundwa haraka haraka na haikuwa na uzoefu wala fedha lakini ilipewa tenda mpaka ikawa tena inatoa tenda kwa makampuni mengine. Huu ni ufisadi mkubwa na hata kazi za kampuni hii hazikuwa nzuri.
Tekno ni bidhaa,kiwanda kipo china,ndege ni bidhaa viwanda vipo ulaya na marekani,zote ni bidhaa zonazohitaji maintenance,Sasa siyo lazima ndege ipelekwe kutengenezwa kule ilikotengenezwa awali kwa kuwa hizo kampuni za ndege Zina maintenance depot sehemu mbalimbali duniani,sawa na tekno kioo ikiharibika si lazima uende china,umeelewa bwana akili kubwa!?Unalunga Isha je teckno na ndege kama sio uzwazwa
Kesi bado inaendelea ndio maana sio deni. Walikubaliana ndege iachiwe wakati wanaendelea na maxungumzo lakini watu 3 katika kamati walikataa na moja wa hao watatu ni jirani yetu.Kwani hiyo fidia ndo huwezi kudaiwa!? Deni ni nini na fidia ni nini usipoilipa kwa wakati!?
Nilijua najadiliana na mwenye maarifa kumbe duu!Nchi haiwezi kuachwa iende Kama ng'ombe,hakuna nchi ya hivyo,hao wanasiasa wako waliokutuma,2008 walimnanga lowasa fisadi,2015 wakampa tiketi agombee kwa chama chao kisa 12b,hatuwezi kuwaachia wafanyabiashara ya siasa washike hatamu
Msumari umeingia babu!!...ukweli upo dhahiri usoni kwakoNilijua najadiliana na mwenye maarifa kumbe duu!
Si tunawakilishwa na kina Dokta Musukuma, ndio maana wanaitwa Wawakilishi wa Wananchi, sasa sijui ni ushirikishwaji gani tena unaozungumzia?.ifike wakati mikataba inayoingia Serikali yetu wananchi tushirikishwe moja kwa moja kwa kuiweka wazi nasi kutoa maon yetu.
Kama walivyofanya ktk rasimu ya Katiba. kila mkataba nakala ziwekwe wazi tuikague kwanza. vinginevyo hawa watu wasiozidi hata 500 watatuingiza jahanamu watu zaidi ya milion 60.
inaonesha mikataba Mingi inasainiwa na watu wa michongo makatili wasiojali Maslahi ya Taifa bali matumbo yao. sasa hiyo ndege haikuwa na abiria? Au ilikuwa ikizurula yenyewe kama Drones? kwanza ilibeba mzigo gani? wabongo c wajinga wa kuiacha ndege izurule tu bila mpango, hapo CSI wahusishwe unaweza kukuta Pipa lilikuwa na mzigo nyeti.