Hii si kauli ya mtu makini. Peaceful transition of leadership inafanyika kila baada ya miaka 10 na tulimpoteza Rais, vyombo vyetu ikiwemo Idara hii vikasimamia usalama wa nchi, nchi iko salama kwa sababu ya hii Idara na mambo mengine ambayo mimi na wewe hautayajui yametuliza nchi kwa sababu ya Idara hii, leo unaleta siasa?
Haipendezi. Tunaweza kujadili changamoto zetu za nchi lakini kwa staha na kutambua kazi kubwa za vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.# Kila neno moja kabla hujaliandika au kulitamka fikiria IMPACT yake. 🙏🙏🙏