inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Tekno yako ikiharibika huipeleka china au kariakoo?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku ukiwaona kawaulizeHalafu vile kunyoa vyema,kuvaa Suti na miwani myeusi halafu kujifanya wako serious ndo nini??....
Idara ya usalama wa taifa ni dubwasha moja kubwa hata rais halijui vizuri,mifano yako uliyotoa inaonesha u mweupe kiasi gani ghorofa ya juu ya mwili wakoSawa tufanye kuwa tumekubaliana na rai yako, una maoni gani juu ya;
1. Namna ndege ilivyofika uholanzi na kushikiliwa.
2. Jinsi vijana wengi wa uvccm wanavyojinasibu kuwa wao ni usalama wa taifa na hasa pale wanapokutwa na uovu na hata likiibuka hakuna taarifa kutoka idara husika kutoka hadharani kukanusha. Rejea ya Sabaya, Alihappy nk
Tekno yako ikiharibika huipeleka china au kariakoo!?Ndege iliyotengenezwa Canada 🇨🇦 inaenda kuchekiwa Uholanzi, kwanini iingepelekwa kwa mtengenezaji Canada 🍁?
Umekurupuka kujibu Ndiyo maana hata ulichojibu hakihusiani, sote tunajua TISS ni taasisi kubwa Ndiyo maana kwa ukubwa wake inapaswa kufanya kazi kwa umakini mkubwa siyo kila mtu anaichafua taasisi hii kwa kuwa yupo ccm halafu wanakaa kimya hii Ndiyo inayowafanya watu kuwa na Mashaka nayo.Idara ya usalama wa taifa ni dubwasha moja kubwa hata rais halijui vizuri,mifano yako uliyotoa inaonesha u mweupe kiasi gani ghorofa ya juu ya mwili wako
Acha uwongo,Idara ya usalama wa taifa ni dubwasha moja kubwa hata rais halijui vizuri,mifano yako uliyotoa inaonesha u mweupe kiasi gani ghorofa ya juu ya mwili wako
So kabla ya 1997 idara haikuwepo!?..jielimishe kuhusu nchi yako babu,vitu ambavyo wanasiasa(rais) hawavijui kiundani ni jeshi na idara za usalamaAcha uwongo,
Idara ipo chini ya sheria ya mwaka 97 , idara iko chini ya Rais na inawajibika kwa Rais ambaye ndiye Master.
Kaome sheria ya Tiss mkuu.
Usije ukachanganya kati ya Idara na 'Deep state'
Ukiona TISS kaletwa kwenye siasa ni aidha huyo siyo mtu wa shughuli pevu au kazeeka,watu wa shughuli pevu hata majina wanauojulikana mtaani siyo yao na Wala hutowasikia Wala kuwaonaUmekurupuka kujibu Ndiyo maana hata ulichojibu hakihusiani, sote tunajua TISS ni taasisi kubwa Ndiyo maana kwa ukubwa wake inapaswa kufanya kazi kwa umakini mkubwa siyo kila mtu anaichafua taasisi hii kwa kuwa yupo ccm halafu wanakaa kimya hii Ndiyo inayowafanya watu kuwa na Mashaka nayo.
Unaposhindwa kujibu hoja kikamilifu na kukimbikia matusi kama silaha hapa ndipo unapoonesha ujinga uliopitiliza maana aliye na kitu kichwani huanza kujibu hoja kikamilifu.
Inaonekana mifano iliyotolewa ya Sabaya Ndiyo imekukera au wewe ni mshirika wake na je kwani hakuwahi kuhusika katika uovu na kukamatwa na kitambulisho cha TISS? Na pole kama ni mshirika wake!
Shirikiana na ubongo wako vizuri.Tekno yako ikiharibika huipeleka china au kariakoo?!
Ushamba tu, zamani hao watu ilikuwa vigumu kuwajua lakini hawa vibaka wa sasa hivi wanajitambulisha kwa mbwembwe zao za kitotoHalafu vile kunyoa vyema,kuvaa Suti na miwani myeusi halafu kujifanya wako serious ndo nini??....
Musukuma
MDENI NYOKO ANA NYOTA YA UTAMBUZIMJustification ni kwamba ilikuwa inaenda service, na ikatua Netherlands kwa ajili ya kuongeza wese, lakini ikashindwa kuondoka kwa wakati mdeni akaiotea.
Justification ni kwamba ilikuwa inaenda service, na ikatua Netherlands kwa ajili ya kuongeza wese, lakini ikashindwa kuondoka kwa wakati mdeni akaiotea.
Hizi ni hujuma dhidi ya shirika letu la ndege kwamba ndege zotezikamatwe then tajiri fulani aanzishe la kwake.au hatutumii akiliUkisoma kwa makini chanzo Cha kukamatwa ndege yetu huko Netherlands utaona wazi kuwa huu ni mchongo wa wazi kabisa.
Kwa niaba ya watanzania wazalendo nauliza ndege yetu ilifuata Nini Nethelands?
Pale akili ndogo inspotaka kujibu vitu vikubwaTekno yako ikiharibika huipeleka china au kariakoo!?
Tunapenda sana ccm ikae pembeni lakini sasa mvadala wake uko wapi?Tuna deal na matokeo ya wizi wa kura.
- Mwenye uchungu na Tanzania havunji mikataba ya wawekezaji hovyo
- Mwenye uchungu na nchi hachafui watangulizi wala wafu
- Mwenye uchungu na nchi halaumu laumu bali anatatua changamoto
- Mwenye uchungu na nchi hakubali kuingia kwenye uchaguzi bila tume huru ya uchaguzi
- Mwenye uchungu na nchi hasaliti mamlaka ya uteuzi
Watanzania tuache lawama, hizi ni sababu tosha kuiweka CCM pembeni 2025
Kwanini mumulaumu aluefuta hatimiliki na sio aliemirikisha ardhi kimagumashi.Magufuli aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa. Kifupi CCM imeendelea kulitia hasara taifa.
Inaonekana umekwenda kufukua makaburi. Soon Siri elimu take ni ya kuunga unga tuUnakuta mtu alifeli darasa la nne, akafeli la saba, akafeli from 2 na foem 4 akazungusha halafu ana PhD ya kupewa
Hiyo kampuni ilifanya kazi haikufanya? Kama una wato alafu wanasoma hii coment yako sijui wanakuchukulia je?Kati ya wapigaji wakubwa na waliowahi kuwa viongozi wa nchi hii ni Magufuli akitumia Mayanga Construction
Company ya jina la rafiki yake. Aliipa kampuni hii kila tenda kama vile ujenzi wa uwanja wa chato, madaraja, barabara na tenda nyingine lukuki. Leo hii kampuni inaendeleaje. Tuendelee kuganga majeraha ya enzi za Magufuli ni mengi na yanaibuka kila siku.