Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao majaji wa ulaya ndo walitoa pia vibali ndege iende Netherland????Unadhania hao majaji wa huko Ulaya wanaweza kutoa vibali ya mahakama kimagendo magendo?
Kwa hilo,Serikali ya CCM haiwezi kukubali hata siku moja!ifike wakati mikataba inayoingia Serikali yetu wananchi tushirikishwe moja kwa moja kwa kuiweka wazi nasi kutoa maon yetu. kama walivyofanya ktk rasimu ya Katiba. kila mkataba nakala ziwekwe wazi tuikague kwanza. vinginevyo hawa watu wasiozidi hata 500 watatuingiza jahanamu watu zaidi ya milion 60
Waliipeleka makusudi ili ikamatwe, kila kitu kimepangwa, hata Tanesco inauzwa pia ndio maana wanakata umeme na maji ili wahalishe.
Walianzia mbali, kwanza walisema Mashirika yalikuwa yanadanganya gawio kwa Serikali halafu wakaja kusema Serikali haitafanya biashara hivyo wameanza kujibinafsisha mali zetu za umma.
Pure evil!
Muulize Yuda, shekeli ni hatari mno!!Nani hapendi shekeli?
Je ni kwamba wadeni wanapata notification kwamba ndege ya Tz iko hapa, au anajua aje? Maana hatuna safari za huko awe ametegesha mahsusi kuisubiri!Justification ni kwamba ilikuwa inaenda service, na ikatua Netherlands kwa ajili ya kuongeza wese, lakini ikashindwa kuondoka kwa wakati mdeni akaiotea
Kule si ilikwenda kwa ajili ya service au imekwenda mapumzikoni?Hao majaji wa ulaya ndo walitoa pia vibali ndege iende Netherland????
[emoji849][emoji849][emoji849]Justification ni kwamba ilikuwa inaenda service, na ikatua Netherlands kwa ajili ya kuongeza wese, lakini ikashindwa kuondoka kwa wakati mdeni akaiotea
Wahuni watu washenzi sana dizain walishaongea na mdai. "Tunakuletea ndege uikamate" muhimu pasenti yetu utuwekee kabisa. Inchi ina washenzi sana hii.Waliipeleka makusudi ili ikamatwe, kila kitu kimepangwa, hata Tanesco inauzwa pia ndio maana wanakata umeme na maji ili wahalishe.
Walianzia mbali, kwanza walisema Mashirika yalikuwa yanadanganya gawio kwa Serikali halafu wakaja kusema Serikali haitafanya biashara hivyo wameanza kujibinafsisha mali zetu za umma.
Pure evil!
Justification ni kwamba ilikuwa inaenda service, na ikatua Netherlands kwa ajili ya kuongeza wese, lakini ikashindwa kuondoka kwa wakati mdeni akaiotea
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Justification ni kwamba ilikuwa inaenda service, na ikatua Netherlands kwa ajili ya kuongeza wese, lakini ikashindwa kuondoka kwa wakati mdeni akaiotea
Alijuaje inaenda service na inapita huko?
Ukisoma kwa makini chanzo Cha kukamatwa ndege yetu huko Netherlands utaona wazi kuwa huu ni mchongo wa wazi kabisa.
Kwa niaba ya watanzania wazalendo nauliza ndege yetu ilifuata Nini Nethelands?