Ndege aina ya Airbus A220 ya (ATCL) ilifikaje nchini Uholanzi na kukamatwa?

Ndege aina ya Airbus A220 ya (ATCL) ilifikaje nchini Uholanzi na kukamatwa?

Je ni kwamba wadeni wanapata notification kwamba ndege ya Tz iko hapa, au anajua aje? Maana hatuna safari za huko awe ametegesha mahsusi kuisubiri!
Mdeni ni mnethelandi
 
Mwanasheria gani aliingia Mkataba na hicho kiwanda!? Wekeni majina yao ili tuwajuwe wasomi wetu waliotuingiza King!!
Inaingia ofisi ya mwanasheria mkuu wa Serikali sio individual lawyer Bali inakuwa hiyo pannel ndio ilitumwa kwenye majadiliano ku seal procedures za kisheria wakati waliotoa saini awali Ni wizara nyingine..
 
Baada ya kuliona dude litatua kiblah, ndio wakaanza harakati za kudai deni lao ama kukumbushia.. Perfectly timed.. Siku 90 ni kama vile walipewa muda wa kisheria ku clear deni
Ishu ya kuwa grounded muda wote huo ni mchongo na hata kama tukifanikiwa kulipa deni kuna port charges za grounded feel, hilo dege sujui kama litapona na mshale upi
Kwahiyo wamwachie tu hilo dege maana deni no $160 miliioni na mdeni anadai $160+ million
 
Aisee inaonyesha pana mchezo unachezwa hapa ila ipo siku vitu vitakuwa wazi ndege kuwa inapita Airport fulani ya Nchi fulani Mahakama ipate taarifa kwa wakati kabisa ingawaje dawa ya deni kulipa ila hii miguu tunayoletewa ni ya kizamani sana...
Mambo Kama haya ndio Rais anatakiwa kuwa Mkali japo kwa kauli ili kukemea lakini akijifanya eti Ni makosa ya zamani kwa hiyo anaogopa kuwaudhi wabia wa Maendeleo Ni uswazwa.

Michezo Kama hii unaweza endelea kwa sababu Kuna wanufaika wanatumia udhaifu wa kisheria au wataalamu wetu huku ndani kujipatia Pesa yaani Ni utapeli wa kimataifa.
 
Mambo Kama haya ndio Rais anatakiwa kuwa Mkali japo kwa kauli ili kukemea lakini akijifanya eti Ni makosa ya zamani kwa hiyo anaogopa kuwaudhi wabia wa Maendeleo Ni uswazwa.

Michezo Kama hii unaweza endelea kwa sababu Kuna wanufaika wanatumia udhaifu wa kisheria au wataalamu wetu huku ndani kujipatia Pesa yaani Ni utapeli wa kimataifa.
Huyu hawezi kukemea. Si alisema wanasheria wetu hawajui kiingereza ndio maama wakienda huko wanashindwa kesi
 
Inaingia ofisi ya mwanasheria mkuu wa Serikali sio individual lawyer Bali inakuwa hiyo pannel ndio ilitumwa kwenye majadiliano ku seal procedures za kisheria wakati waliotoa saini awali Ni wizara nyingine..
No nataka kujua kipindi hicho kiwanda Cha sukuri tunaingia nacho Mkataba,ni Nani alikua Mwanasheria Mkuu wa Serekali!? Je ni Judge Werema!!??
 
Sasa wakuwatafuta ndio hayupo.
Walianza kutudanganta kuwa ndege zitapakiwa kwa sabu huko wanakofanyia service spea hamba mara vuu dege linapelekwa Netherlands.
Ukichunguza kwa haraka haraka unakuta Ni kamchezo tuu kanaratibiwa na Serikali Kama malipo ya symbion yalivyofanywa..

Hivi tunafanyaje kupata Katiba mpya maana hii michezo ya kimafia kiufupi inawanufaisha CCM huu ndio ukweli.
 
Ukisoma kwa makini chanzo Cha kukamatwa ndege yetu huko Netherlands utaona wazi kuwa huu ni mchongo wa wazi kabisa.

Kwa niaba ya watanzania wazalendo nauliza ndege yetu ilifuata Nini Nethelands?
Ilienda kuchukua PhD ya Mtu ya Utu na Huruma.
 
Inaweza ikataifishwa na deni bado ukawa unadaiwa vile vile! Kwani hujaona Bank wanauza Nyumba yako na Deni lingine unaambiwa bado wadaiwa!!!
Kwa mujibu wa Jiwe, ndege moja alinunua kwa bilion 400. Deni la huyo Mswid ni bilion 380. Kwa hiyo kuna kaziada ka bilion 20
 
Chanzo Cha deni unakifahamu?
Again huu ni uzuzu at its best ,yaani ndege izuiliwe just for fun!,chanzo cha deni piga hodi pale magogoni au Lumumba wanajua, maana wanaendesha nchi with pure impunity, hapo SA president CR amekalia chupa wakati yeye ni victim!,fedha iliibiwa kutoka kwake sio mijizi tuliyokua nayo yanayoibia wananchi
 
Pana jamaa alinunua BMW ilipokua mbovu na ilikua ishamaliza muda wa kutengenezwa na kampuni tuliwasiliana nae nikaenda BMW wakampa gharama akaita mafundi wawili ilikua 2018 BMW X 6 aliita mafundi toka SA walipata ndege na vifaa wakarekebisha gari lake akailipa BMW maisha yakaendelea ila sisi kama Nchi mafundi wa ndege wao hawawezi kusafiri kutoka huko kuja kutengeneza mpaka ndege inawashwa bila abiria kuzunguka Dunia...pana uhuni mwingi sana hapo...
 
Back
Top Bottom