MUBENDE
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 1,111
- 1,879
Kwani mtani hii ndege si walisema hitilafu ni ya kwenye Engine? Sasa hawakuogopa kuirusha isije ikadumbukia baharini huko?Justification ni kwamba ilikuwa inaenda service, na ikatua Netherlands kwa ajili ya kuongeza wese, lakini ikashindwa kuondoka kwa wakati mdeni akaiotea