goroko77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 8,845
- 13,072
Jmn kwani ulimuona na sandarusi au na bahasha kubwa tu ya kubeba milioni 10 at onceJudge Werema kipindi kile baada ya kupigwa chini na Magu,nilikutana nae Bank moja pale Posta VIP lounge anachukuwa Mzigo cashi wakutisha,alafu Jamaa Yuko serious na Mzigo wake! Wanasheria wengine ni wezi sana! Tunaomba kwa Mungu Karma ifanye kazi yake kwa kila fisadi!!!!
Mm nadhani Ni mihemko tu ila hata milionin Mia kwa mtu wa hadhi yake ni sawa tu mkuu
Tujadili mambo ya msingi